Utakuwa division five wewe si bure isingekuwa muhimu badi hata wale kumi bora wasingetajwa public na kupewa zawadi na wizara.
Sasa kuna wenzio wanaficha walezi wao. Hao ndio wanaonikera
Form four kitambo Sana,nazan hata wewe wakati huo darasa la kwanza Kama sio kinder garden kabisa
Majina ya nini? Nenden cha versity napo kasemen waweke majina full na sio no
Wewe hako ka tu kako ndo usumbue watu ili majina waandike??? Acha ushamba
Kwani chuo hawaweki majina hata course work zao huwa nawaandikia both regislation number na majina yao na sio vyote vinatumia ARIS vyuo kama Sua vilikuwa vinabandika kwenye notice board majina.
Nakumaliza form four kitambo sio exemption ya kutopata division five si bure wewe kama sio wewe basi mwanao mbona unapinga sana.

Kwanza hakuna kiti kinaitwa ARIS ni SARIS
Nishaanza kupata doubt na elimu yako
Kama sio ya kusimulia na wenzako basi wewe ni kilaza
Daah kweli mjomba ume kariri aisee utakuwa unasoma Saut wewe sio bure na umekariri Wenzio UDSM na UDOM hutumia na huita ARIS - Academic Registration Information System hutumia both staff na students kwa mambo mengi km cousre registration na results na graduation confirmation vyuo kama Saut mnaita - Saut Academic Results Information system a.k.a SARIS kuangalia matokeo tu sijui km mnajiregisyer online vyuo kama Tumaini, CBE pia mnaita SARIS tena imeanza miaka ya karibuni. Aliyekuakaririsha amekosea akukaririshe vizuri.
Kwan waliosoma au wanaosoma Saut wana nini?
Waliosoma Saut na hivyo vingine kama cbe na tumaini wanaita Saris so ukadhani ndo inaitwa Saris pekee not true udsm na udom wanaita Aris so usikariri kuwa ni Saris bali kuna Aris na Saris na wengine wataita kutokana na vyuo vyao.
Duuh hapo sijui wametumia vigezo gani..
Inabidi mkuu wa shule akate rufaa
Sasa don't say dat nasoma Saut mkuu au sio let's back to the topic sasa
kuna wengine hawakufanya mtihani na wengine matokeo yameshikiliwa ila nyumbani wana danganya wana div 4Form four kitambo Sana,nazan hata wewe wakati huo darasa la kwanza Kama sio kinder garden kabisa
Majina ya nini? Nenden cha versity napo kasemen waweke majina full na sio no
Wewe hako ka tu kako ndo usumbue watu ili majina waandike??? Acha ushamba