Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

Nimejaribu kucheki tena kwa umakini yale matokeo. Vijana wamepata F sawa nilijua labda kuna mmoja alikua Science na mwingine Arts kumbe la! Hapo utagundua sasa hata hawa wanaingiza hizi data kwenye database nao ni mizigo pia. Na ifike wakati sasa tusikie tamko kutoka serikalini likiwawajibisha wanaohusika na upachikaji wa hizi data. Kwa nini kila mwaka wanaleta mkanganyiko???
huyo MAWAZO UJENZI ni kichwa maji sana. anasema utamkamata wakati wa kwenda advance. hajui wengine wana ziro wanadanganya wana 4 hasa wale waliosoma bording za mbali na kwao
 
Last edited by a moderator:
huyo MAWAZO UJENZI ni kichwa maji sana. anasema utamkamata wakati wa kwenda advance. hajui wengine wana ziro wanadanganya wana 4 hasa wale waliosoma bording za mbali na kwao

Wewe ndo kichwa maji
Wakati wa kwenda advance atakuambia nini tena? Joining instruction si utaletewa mzazi au mlezi? Salsa kama anaziro ataendaje advanced think out of the box kijana mbona povu jingi na misuli ya shingo kutanuka wakani its so simple
 
ni hivi mkuu. dogo kapiga ziro ila skani anadanganya ana div 4 akijua kabisa watu wenye 4 hawaendi advance kwa hiyo itakuwa ngumu kumkamata.au mtu hana c hata moja ila nyumbani anadanganya anayo moja au mbili. wazazi mnaangahika kumtafutia kituo cha kurisit kumbe mtu mwenyewe hamna kitu.
 
Umenikmbusha Primary. Mtu akiwa wa 25 anaweka nukta kati ya 2 na 5. Matokeo yake anapeleka Report inayosemeka amekuwa wa 2.5..
 
Yes hiki ndio kilikuwa chanzo cha kuondoa majina na kuleta namba. Kwangu mimi ni vizuri kutumia majina badala ya namba.

Tiba

Sio kweli hata waliomaliza form four 2006 na form 6 2009 pia matokeo yetu yalikuwa na namba tu bila majina kama mnabisha yatafuteni mtaona.

sasa hapa ulichobishia wewe ni kipi?
Tiba anaongea vingine, na wewe unajibu vingine! unajua mwanaasha kamliza form four mwaka gani?
 
Last edited by a moderator:
sasa hapa ulichobishia wewe ni kipi?
Tiba anaongea vingine, na wewe unajibu vingine! unajua mwanaasha kamliza form four mwaka gani?

We ndo usiye jielewa matokeo ya akina mwanaasha na wengine ilikuwa ni 2011 na huo ndio ukawa mwisho wa kutoa majia kuanzia mayokeo ya 2012 na 2013 yote ni namba lakini hiyo aliyo sema juu sio sababu huo mfumo wa namba bila majina ulikuwepo hata kabla ya hao akina mwanaasha cjui nan mnajuana wenyewe ndio tuka refer mwaka 2006 walitumia abbreviation tu na mwaka 2009 hivyo hvyo walitoa namba tu bila majina ktk matokeo ya kidato cha sita. usikurupuke tu soma vizuri maana huyo jamaa kakubaliana na mm kuwa mfumo huo ulikuwapo mwanzoni pia ila haukuwa rasmi miaka mingine walitumia wa majina ila tangu ishu ya mwanaasha itokee sasa wameufanya mfumo wa namba kuwa rasmi.
 
Last edited by a moderator:
Ilianza jina miaka ya nyuma, tulikuwa wachache sana sisi kuendelea na masomo ya mbele na juu zaidi, tuliishia chini sana kwa kufeli. Ila mungu akamtuma kigoma malima( mungu amlaze mahala pema peponi) akabadili System ya majina na kuwa namba. Baada ya hapo tukaanza kuona mmoja baada ya mwengine anaendelea na masomo ya juu na juu zaidi.
Mpaka majuzi hizi tena ikagundulika kale kamchezo ka zamani kumbe kanapigwa kiaina. Maksi zetu zilikuwa zinagawanywa kwa tatu, kisha za wengine zinagawanywa kwa mbili. Hili lilivyostukiwa likaleta utata kidogo, mgawanyo ukarudia ukakuta Jamaa zetu kibao walipata Division 4 sasa wamepata 3, na waliopata 3 sasa wana 2, na wliopata 2 wakapiga one. Basi ni hayo tu. Tunaiomba kamwe hili lisirudiwe tena ka majina kabisa, kamtandao Bado Bado kapo ingawa siku hizi na kenyewe hakajielewi elewi kamekuwa ka ki siasa zaidi.
 
Ilianza jina miaka ya nyuma, tulikuwa wachache sana sisi kuendelea na masomo ya mbele na juu zaidi, tuliishia chini sana kwa kufeli. Ila mungu akamtuma Kigoma Malima( mungu amlaze mahala pema peponi) akabadili System ya majina na kuwa namba. Baada ya hapo tukaanza kuona mmoja baada ya mwengine anaendelea na masomo ya juu na juu zaidi.
Mpaka majuzi hizi tena ikagundulika kale kamchezo ka zamani kumbe kanapigwa kiaina. Maksi zetu zilikuwa zinagawanywa kwa tatu, kisha za wengine zinagawanywa kwa mbili. Hili lilivyostukiwa likaleta utata kidogo, mgawanyo ukarudia ukakuta Jamaa zetu kibao walipata Division 4 sasa wamepata 3, na waliopata 3 sasa wana 2, na wliopata 2 wakapiga one. Basi ni hayo tu. Tunaiomba kamwe hili lisirudiwe tena ka majina kabisa, kamtandao Bado Bado kapo ingawa siku hizi na kenyewe hakajielewi elewi kamekuwa ka ki siasa zaidi.

MUNGU AMLAZE PEMA

Mkuu nimepitia vizuri hoja yako. Ila sijaelewa hapo waliokua wanagawanywa kwa 3 ni akina nani na kwa 2 ni akina nani hasa.
 
Huu utaratibu sio mzuri kwa mustakabali wa elimu nchini.

NECTA rudisheni utaratibu wa majina kwenye matokeo kuna baadhi ya vijana wanatumia mwanya wa namba pekee kudanganya wazazi na walezi wao juu ya matokeo yao halisi.

mbona umu jamiiforum atutumii majina ye2?
 
Mi nahisi inaweza kuhusishwa na sekeseke la udini lililoikumba nchi likataka kuimeza necta na viongozi wake.ikapelekea kutumia namba kuepusha majunguzzzzzz na inferiority kompleksiiiiiiiii
 
Mi nahisi inaweza kuhusishwa na sekeseke la udini lililoikumba nchi likataka kuimeza necta na viongozi wake.ikapelekea kutumia namba kuepusha majunguzzzzzz na inferiority kompleksiiiiiiiii

Kwani watendaji wa NECTA wote ni dini moja?? Iweje mtumishi akubali dini yake ifelishwe makusudi? Sikubaliani na hii hoja.
 
Huu utaratibu sio mzuri kwa mustakabali wa elimu nchini.

NECTA rudisheni utaratibu wa majina kwenye matokeo kuna baadhi ya vijana wanatumia mwanya wa namba pekee kudanganya wazazi na walezi wao juu ya matokeo yao halisi.
NECTA ililazimika (au ililazimishwa?) kutumia utaratibu huu baada ya kukisanua wakati ule na matokeo ya Mwanaasha. Mheshimiwa kumbe hujasoma hata lile tamko la wapentekoste, kwamba haifai kufunua utupu wa mzazi? Rejea https://www.jamiiforums.com/katiba-...e-pct-kumjibu-kaimu-katibu-mkuu-kiongozi.html. Ugali mtamu jamani acheni, halafu njaa mbaya sana.
 
kwani watendaji wa necta wote ni dini moja?? Iweje mtumishi akubali dini yake ifelishwe makusudi? Sikubaliani na hii hoja.
mkuu labda sijaeleweka kwako, kuna sintofahamu iliwahi kujitokeza kuwa necta inapendelea dini fulani tu,kaseti na cd ziliuzwa na kupigwa sana mitaani, wanaopinga walikuja na matokeo wanaonyesha majina wakihusisha na dini za watu, mfano ukiitwa john wanasema mkristo na ukiitwa ramadhani wanakugrupu kwenye uislamu, hata kama ni mpagani wao hawajali hilo. ugomvi ulikuwa hot sana kiasi kwamba nikasema si ajabu serikali imeamua kutatua tatizo hilo la sintofahamu ya matokeo kwa kuweka namba ili ulinganifu wa kufaulu usije ukamezwa na vikundi vyenye hoja za kibaguzi za kidini kwa kuleta sintofahamu zao.
Kuna usemi usemao haki itendeke lakini lazima watu waone ikitendeka..zitto amewahi kutamka maneno haya japo hakuwaanagusia swala hili la udini. Kuwa haki ikitendeka lazima wananchiwajue, haina maana kama whawajui. Ni mtazamo tu mkuu
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Naunga mkono hoja.
 
Ujue matokeo yangi ili iweje?
Siku nafanya paper I was alone iweje wewe uyashikie kibwebwe?
Ni matokea yangu na sio matokeo yet
Na maana mtu anapewa cheti pekee na sio cheti cha wote

basi na ada ungekuwa unajilipia mwenyewe, yaani umetusumbua kukusomesha halafu matokeo uyabinafsishe hii haikubaliki hata kidogo!!
 
Yote hiyo ni baada ya kadhia ya mwanashaa
 
Back
Top Bottom