Tena mtawala mjinga kbs aliyepata sifuri matokeo ya form 4!Lissu kako
Lissu kakosea nn? Ni uonevu tu wa watawala
Muungano wa kichoko kabisa huu
Tena mtawala mjinga kbs aliyepata sifuri matokeo ya form 4!Lissu kako
Lissu kakosea nn? Ni uonevu tu wa watawala
Hawa ndo wapuuzi kweli kweli..Lissu hahitaji huruma ya serikali
View attachment 3424776
Naamini ungekuwa karibu na mhusika, kungekuwa na uwezekano mkubwa kabisa wa kukulamba makofi kwa hiki ulichokiandika hapa.Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu
Kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima na taadhima kubwa, napenda kutoa ombi langu la dhati kwa Serikali kuzingatia kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi ya uhaini na amekuwa mahabusu kwa siku 112 hadi kufikia Julai 30, 2025.
Ni wazi kuwa Mheshimiwa Lissu amepitia mateso makubwa kiafya kutokana na shambulio la risasi alilowahi kukumbana nalo, na kwa sasa bado yupo katika hali ya kiafya inayohitaji uangalizi maalum na matumizi ya dawa za muda mrefu.
Kwa kuzingatia hali hiyo, na kwa kutambua kuwa kauli zake huenda zilikuwa ni sehemu ya mijadala ya kisiasa ambayo mara nyingi hujaa misisimko na jazba — jambo la kawaida katika demokrasia yoyote iliyo huru — naomba Serikali isimwangalie kama tishio la kweli kwa usalama wa taifa.
Tundu Lissu ni mtumishi wa wananchi, mwanasheria na aliyewahi kuwa Mbunge, ambaye licha ya tofauti za kisiasa, bado ni sehemu ya taifa letu. Taifa letu lina historia ya huruma, haki, maridhiano na kusameheana, na kwa msingi huo nawaomba viongozi wetu waangalie jambo hili kwa jicho la utu na busara.
Kwa kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana, Serikali haitakuwa dhaifu, bali itaonesha nguvu ya kidemokrasia, utu na utayari wa kujenga Tanzania ya maridhiano, haki na mshikamano.
Naamini hatua hii itakuwa ujumbe wa matumaini, kuponya majeraha ya kisiasa, na kujenga taifa lenye umoja.
Kwa heshima kubwa na matumaini mema,
Fredrick odiawo agalla
Raia wa Tanzania
Rafiki wa Tanzania na Mpenda Haki
Hamna mtu atakaye omba huruma kwa kiongoz fulan hivi awe huru.Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu

Asamehewe kwa kosa gani?Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu

TAL ndio anapaswa kuombwa msamaha sio yeye kusamehewa kwakua hana kosa anaipigania nchi yake na watu wake hadi masisiemu anayapiganiaOmbi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu
Kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima na taadhima kubwa, napenda kutoa ombi langu la dhati kwa Serikali kuzingatia kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi ya uhaini na amekuwa mahabusu kwa siku 112 hadi kufikia Julai 30, 2025.
Ni wazi kuwa Mheshimiwa Lissu amepitia mateso makubwa kiafya kutokana na shambulio la risasi alilowahi kukumbana nalo, na kwa sasa bado yupo katika hali ya kiafya inayohitaji uangalizi maalum na matumizi ya dawa za muda mrefu.
Kwa kuzingatia hali hiyo, na kwa kutambua kuwa kauli zake huenda zilikuwa ni sehemu ya mijadala ya kisiasa ambayo mara nyingi hujaa misisimko na jazba — jambo la kawaida katika demokrasia yoyote iliyo huru — naomba Serikali isimwangalie kama tishio la kweli kwa usalama wa taifa.
Tundu Lissu ni mtumishi wa wananchi, mwanasheria na aliyewahi kuwa Mbunge, ambaye licha ya tofauti za kisiasa, bado ni sehemu ya taifa letu. Taifa letu lina historia ya huruma, haki, maridhiano na kusameheana, na kwa msingi huo nawaomba viongozi wetu waangalie jambo hili kwa jicho la utu na busara.
Kwa kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana, Serikali haitakuwa dhaifu, bali itaonesha nguvu ya kidemokrasia, utu na utayari wa kujenga Tanzania ya maridhiano, haki na mshikamano.
Naamini hatua hii itakuwa ujumbe wa matumaini, kuponya majeraha ya kisiasa, na kujenga taifa lenye umoja.
Kwa heshima kubwa na matumaini mema,
Fredrick odiawo agalla
Raia wa Tanzania
Rafiki wa Tanzania na Mpenda Haki
Anacheka cheka!Kikwete ni janga kwa Taifa.
Imsamehe,kwani kakosa nn?Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu
Kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima na taadhima kubwa, napenda kutoa ombi langu la dhati kwa Serikali kuzingatia kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi ya uhaini na amekuwa mahabusu kwa siku 112 hadi kufikia Julai 30, 2025.
Ni wazi kuwa Mheshimiwa Lissu amepitia mateso makubwa kiafya kutokana na shambulio la risasi alilowahi kukumbana nalo, na kwa sasa bado yupo katika hali ya kiafya inayohitaji uangalizi maalum na matumizi ya dawa za muda mrefu.
Kwa kuzingatia hali hiyo, na kwa kutambua kuwa kauli zake huenda zilikuwa ni sehemu ya mijadala ya kisiasa ambayo mara nyingi hujaa misisimko na jazba — jambo la kawaida katika demokrasia yoyote iliyo huru — naomba Serikali isimwangalie kama tishio la kweli kwa usalama wa taifa.
Tundu Lissu ni mtumishi wa wananchi, mwanasheria na aliyewahi kuwa Mbunge, ambaye licha ya tofauti za kisiasa, bado ni sehemu ya taifa letu. Taifa letu lina historia ya huruma, haki, maridhiano na kusameheana, na kwa msingi huo nawaomba viongozi wetu waangalie jambo hili kwa jicho la utu na busara.
Kwa kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana, Serikali haitakuwa dhaifu, bali itaonesha nguvu ya kidemokrasia, utu na utayari wa kujenga Tanzania ya maridhiano, haki na mshikamano.
Naamini hatua hii itakuwa ujumbe wa matumaini, kuponya majeraha ya kisiasa, na kujenga taifa lenye umoja.
Kwa heshima kubwa na matumaini mema,
Fredrick odiawo agalla
Raia wa Tanzania
Rafiki wa Tanzania na Mpenda Haki
Waambie wajaribu waone kitakachotokeaLissu mpaka ahukumiwe kula kitanzi ili atie akili.
Mungu akujalie hilo liweze kukufika wewe au mtu wako wa karibu zaidi. Amiin. Na hakuna Mbwa yoyote aliyeko ccm na serikalini ambaye ataweza kufanya huo ujinga na mtamwachia kutaka msitake na hapo itajulikana kama lissu bado ni msindi licha ya kutumia hao vibaraka wa serikali na kumpotezea mda wake.Lissu mpaka ahukumiwe kula kitanzi ili atie akili.
Kumbe lengo ni kumweka huko na sio kumshitaki kwa kosa mlilomshitakia. Samia kabla ya uchaguzi tunamuomboleza. Amini hili.Ana kiburi sana, ngoja akae kidogo mpaka January
Hawa ndo wapuuzi kweli kweli..
Mnachora mavampaya mitandaoni mkiwa nyuma ya keyboard mwenzenu anaumia!
Mnamchora chora mitandaoni na hamna mchango wowote mmemgeuza kama movi mnamuangalia mkitoka huko mnabakia tu kuwa wasanii mitandaoni bila hatua..
BURE KABISA
Nyie wajinga wajinga tumeishawazoea humu JF. Mdude yuko wapi? Lissu ananyea mtondoo siku ya 113 kesho. Chadema imefungiwa kufanya kazi kama chama cha siasa mwezi sasa. Eti unasubiri Lissu ahukumiwe kihalali na mahakama ndio ukinukishe? Wewe na uzao wako wote ni wajinga na wapumbavu!!Waambie wajaribu waone kitakachotokea
Hutaamini km hii ni Tz
Na akiachiwa huru ujuwe tayari keishaunga kuhusu kama ilivyokuwa kwa Mch. Msigwa. Kesi, faini. Unalipiwa. Unajitutumua kwa muda baada ya hapo unaunga juhudi! Dadeeeki!!Mungu akujalie hilo liweze kukufika wewe au mtu wako wa karibu zaidi. Amiin. Na hakuna Mbwa yoyote aliyeko ccm na serikalini ambaye ataweza kufanya huo ujinga na mtamwachia kutaka msitake na hapo itajulikana kama lissu bado ni msindi licha ya kutumia hao vibaraka wa serikali na kumpotezea mda wake.
Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu