Nachukua nafasi hii kuiomba Serikali yetu imsamehe Lissu

Nachukua nafasi hii kuiomba Serikali yetu imsamehe Lissu

Kwani alilazimishwa na nani kutangaza hadharani kuwa anaenda kuanzisha uasi, aka kukinukisha?
 
Japo nimeishia kusoma aya ya kwanza tu ila ninachoweza kusema ni kuwa msamaha huweza kutolewa kwa ambaye tayari amebainika kutenda kosa, hivyo kwa Lissu si kuomba serikali imsamehe bali kuitaka serikali ifutilie mbali shitaka lake.
 
Back
Top Bottom