Nachukua nafasi hii kuiomba Serikali yetu imsamehe Lissu

Lissu hahitaji huruma ya serikali
View attachment 3424776
Hawa ndo wapuuzi kweli kweli..
Mnachora mavampaya mitandaoni mkiwa nyuma ya keyboard mwenzenu anaumia!

Mnamchora chora mitandaoni na hamna mchango wowote mmemgeuza kama movi mnamuangalia mkitoka huko mnabakia tu kuwa wasanii mitandaoni bila hatua..

BURE KABISA
 
Naamini ungekuwa karibu na mhusika, kungekuwa na uwezekano mkubwa kabisa wa kukulamba makofi kwa hiki ulichokiandika hapa.
 
Hamna mtu atakaye omba huruma kwa kiongoz fulan hivi awe huru.
 
Asamehewe kwa kosa gani?
 
Imsamehe amefanya kosa gani?
Huenda sasa hivi Serikali inaangalia kama inaweza kuingia Cheap bargaining na Lissu ili kujiosha mbele ya Jumuia ya kimataifa.
 
TAL ndio anapaswa kuombwa msamaha sio yeye kusamehewa kwakua hana kosa anaipigania nchi yake na watu wake hadi masisiemu anayapigania

No reform No Election
 
Acha majizi ya Ccm yamuweke mahabusu hadi ajue kuwa chadema haina wanachama ila ina nyumbu , wako wengi ila hata kuandamana kwaajili yake wanaogopa.
 
Imsamehe,kwani kakosa nn?
Mbona walio nyuma ya huo mchezo wanafahamika
Waache waendelee wanafikiri Wana muda mrefu wa kuendelea na huo mchezo
Muda ushaisha
 
Lissu mpaka ahukumiwe kula kitanzi ili atie akili.
Mungu akujalie hilo liweze kukufika wewe au mtu wako wa karibu zaidi. Amiin. Na hakuna Mbwa yoyote aliyeko ccm na serikalini ambaye ataweza kufanya huo ujinga na mtamwachia kutaka msitake na hapo itajulikana kama lissu bado ni msindi licha ya kutumia hao vibaraka wa serikali na kumpotezea mda wake.
 
Ana kiburi sana, ngoja akae kidogo mpaka January
Kumbe lengo ni kumweka huko na sio kumshitaki kwa kosa mlilomshitakia. Samia kabla ya uchaguzi tunamuomboleza. Amini hili.
 
 
Waambie wajaribu waone kitakachotokea
Hutaamini km hii ni Tz
Nyie wajinga wajinga tumeishawazoea humu JF. Mdude yuko wapi? Lissu ananyea mtondoo siku ya 113 kesho. Chadema imefungiwa kufanya kazi kama chama cha siasa mwezi sasa. Eti unasubiri Lissu ahukumiwe kihalali na mahakama ndio ukinukishe? Wewe na uzao wako wote ni wajinga na wapumbavu!!

Na atakula kitanzi na hutafanya lolote kenge wewe!!
 
Na akiachiwa huru ujuwe tayari keishaunga kuhusu kama ilivyokuwa kwa Mch. Msigwa. Kesi, faini. Unalipiwa. Unajitutumua kwa muda baada ya hapo unaunga juhudi! Dadeeeki!!
 
Imsamehe kwani ana kosa!!??
 
Naona watu wanamkejeli mwandishi wa barua bila sababu za msingi. Unless waipuuzie tu kwasababu ni barua ya mtandaoni ila yupo sahihi maana watanzania ni Proven kwamba hatuna uwezo wa kupambana.

Ni kweli Lisu anataka Haki, hataki huruma,
Ila hiyo haki anaipata wapi? mahakama za nchi gani?

Bado mnaamini mahakama itatoa haki na Lissu ataachiliwa hata kama serikali haitaki? Je Asipopata hiyo haki tutafanya nini?
Mpaka sasa hivi tumefanya nini wakati Lissu anateseka gerezani?

Nani atakuja kupambana kwenye nafasi zetu?

Tuendelee tu kusubiri muujiza tukiwa tumelala kitandani na simu zetu tukipost #NRNE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…