Nachukua nafasi hii kuiomba Serikali yetu imsamehe Lissu

Na akiachiwa huru ujuwe tayari keishaunga kuhusu kama ilivyokuwa kwa Mch. Msigwa. Kesi, faini. Unalipiwa. Unajitutumua kwa muda baada ya hapo unaunga juhudi! Dadeeeki!!
Ni hivi hayo mengine niyako. Unafurahia Lissu anyongwe hata kesho. Ushahidi na kuweza kufanya hivyo hamna na hamtakuwa na uwezo huo. Lissu mtamwachia mkitaka msitake hata Huuyo shoga la Kizanzibari aseme. Lissu hamjawahipo kumshinda kwa hoja na haitatokea siku hiyo. Kama utabadilisha msimamo huwo ni udhaifu wako kwa sababu hutumii akili.
 
naunga mkono hoja ili tu awe na uhuru wake hata kesi ikiendelea.
wanaosema Hana kosa sijui sasa anashikiliwa kwanini
 
Tatizo lipo hapa, aliyekosea ndo anayeombwa msamaha na aliyekosewa!
 
Mkuu hao ni wajinga. Usijisumbuwe kuwajibu wa type hiyo.
 
Kaa ukijua ya kwamba NITAUMIA SANA iwapo ataachiwa aende zake bila kula kitanzi! Yaani NITAUMIA SANA!!
 
Kaa ukijua ya kwamba NITAUMIA SANA iwapo ataachiwa aende zake bila kula kitanzi! Yaani NITAUMIA SANA!!
Basi anza kutafuta sumu kabisa kwasababu hilo unalotaka liwe kwake kwa uwezo wa Mungu halitatokea.
 
Nadhani unamaana serikali imwachie Antipasi bila mashariti na kisha Antipasi awasamehe waliohusika na njama za kumuumiza kwa tuhuma za uhainii.Uliona wapi uhaini unafanywa kwa maneno bila jeshi? Tena na mtu asiyena ushawishi na makamanda wa kijeshi.Maneno mangapi ya hovyo wanayasema dhidi ya upinzani? Kwani si kweli kwamba katika chaguzi wanaokatwa,wanaumizwa,wanaouwawa na kutekwa,wanaoibiwa kura nk ni wapinzani? Kwa hiyo cdm wamefanya kosa gani kutaka haki bada kurekebisha sheria na kanuni za uchaguzi?
 
Kakutuma?Akiwa Chini ya kiapo mahakamani alisema wazi kuwa hahitaji huruma ya mahakama,wala mtu yeyote.Anataka ashitakiwe kwa haki na kuhulumiwa kwa haki.
Haya unayosema wewe ni kiherehere chako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…