Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Aug 1, 2025 #101 DR VRM said: haki anayoitaka ndyo inafanyiwa kazi na mahakama sasa Click to expand... TZ hakuna mahakama👺👺Wala bunge zote zinapokea Toka NUNGWI KWA SASA😝😝😝😝😝
DR VRM said: haki anayoitaka ndyo inafanyiwa kazi na mahakama sasa Click to expand... TZ hakuna mahakama👺👺Wala bunge zote zinapokea Toka NUNGWI KWA SASA😝😝😝😝😝
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,047 Reaction score 9,346 Aug 1, 2025 #102 Kwani alilazimishwa na nani kutangaza hadharani kuwa anaenda kuanzisha uasi, aka kukinukisha?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 1, 2025 #103 Hana makosa ya kusamehewa kaonewa tu
Panctuality JF-Expert Member Joined Jun 11, 2019 Posts 1,160 Reaction score 1,748 Aug 1, 2025 #104 Japo nimeishia kusoma aya ya kwanza tu ila ninachoweza kusema ni kuwa msamaha huweza kutolewa kwa ambaye tayari amebainika kutenda kosa, hivyo kwa Lissu si kuomba serikali imsamehe bali kuitaka serikali ifutilie mbali shitaka lake.
Japo nimeishia kusoma aya ya kwanza tu ila ninachoweza kusema ni kuwa msamaha huweza kutolewa kwa ambaye tayari amebainika kutenda kosa, hivyo kwa Lissu si kuomba serikali imsamehe bali kuitaka serikali ifutilie mbali shitaka lake.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Aug 1, 2025 #105 004 said: si una hamu sana ya kula kitanzi! Click to expand... Hiyo ni hukumu Tindo said: Kwa namna usiyopenda. Click to expand... Ok
004 said: si una hamu sana ya kula kitanzi! Click to expand... Hiyo ni hukumu Tindo said: Kwa namna usiyopenda. Click to expand... Ok