Nachumbiwa na mtu wa Musoma

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
 
Sirari ni mpakani mwa Tz na Kenya, panafaa Sana kwa biashara, tatizo ni Wewe Kama kuchumbiwa tu umekimbilia kuropoka jf, iweje masuala ya ndoa? Nakuona Upo kimalaya laya sana Kamwehutaweza kuishi na mkurya
 
Jamani mi nimeomba tu,niwafaham vizuri,Mimi sio malaya kama unavyofikiria
 
Na mimi niko serious naomba unikubalie nikuoe.
 
Umeuliza kabila mchumba wako! We mwenyewe kabila gani ili twende sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…