cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa
Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje