Nachumbiwa na mtu wa Musoma

Nachumbiwa na mtu wa Musoma

Sirari ni mpakani mwa Tz na Kenya, panafaa Sana kwa biashara, tatizo ni Wewe Kama kuchumbiwa tu umekimbilia kuropoka jf, iweje masuala ya ndoa? Nakuona Upo kimalaya laya sana Kamwehutaweza kuishi na mkurya
Dah kakufanyia nini ???
Unamsema hivyo
 
Kaolewe tu jifanye kuchagua sifa utazeekeea geto
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
 
Wanajua kupenda haswaaa, ila wana wivuuuuu.

Mie siwataki tena hata kwa dawa.
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
muulize mchumba wako tabia zake na ustake kujua tabia za wakurya wote,sdhani kama zinafanana,labda ungeulizia mila na desturi za wakurya hapo ungekuwa sahihi,hongera kwa kupata mchumba maana hiyo kitu nyakati hizi ni kama utajiri
 
Mpaka hapo tayari Hiyo ndoa inaenda kukushinda..ukitoboa mwaka na huyo jamaa Njoo Nisute
 
Hujataka kumjua mume wako unataka watu wakusaidie kumjua...Ukimpenda mtu hiki ulichouliza muulize mwenyewe discuss nae thats love....kutuuliza sisi Tutkupa sifa nzuriiiiiiiiiiiiii halafu utampenda kutokana na sifa tulizokutajia Mwisho wa siku ndani ya nyumba unaenda kukuta kinyume chake..Mnaachana.

Mapenzi hayataki washauri wa pembeni...swali lolote ulilo nalo Muulize mumeo.
 
Sikuhizi mambo ya tabia za makabila hayana maana tena, muangalie yeye kama yeye
 
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa

Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
Ur not serious kwamba mpaka unataka kukubali akuoe hujui tabia zake ur too young to be married tulia akili ipevuke kwanza
 
Karibu mama karibu sirari border ya wajanja, mji umechangamka huu, kila biashara inaenda, huku kwetu hamna njaa njaa tunalima mahindi, muhogo, viazi, maharage utakula utashiba.
Sirari inapakana na Kenya shopping zetu tunaenda kufanya huko vitu bei chee, lakini pia kuna amani ya kutosha.
Asnt best
 
Back
Top Bottom