Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
pole, watu kwa kashfa!! duhh!!! eti kimalayalaya!!Jamani mi nimeomba tu,niwafaham vizuri,Mimi sio malaya kama unavyofikiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole, watu kwa kashfa!! duhh!!! eti kimalayalaya!!Jamani mi nimeomba tu,niwafaham vizuri,Mimi sio malaya kama unavyofikiria
Sema nikuletee mamaa.....mama alikuwa anatoka nayo from mara to dar lkn bdo mkate upo fresh
gharama itakuwa. sh ngapiSema nikuletee mamaa.....
Dah kakufanyia nini ???Sirari ni mpakani mwa Tz na Kenya, panafaa Sana kwa biashara, tatizo ni Wewe Kama kuchumbiwa tu umekimbilia kuropoka jf, iweje masuala ya ndoa? Nakuona Upo kimalaya laya sana Kamwehutaweza kuishi na mkurya
Zawad tu....hakuna gharamagharama itakuwa. sh ngapi
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa
Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
muulize mchumba wako tabia zake na ustake kujua tabia za wakurya wote,sdhani kama zinafanana,labda ungeulizia mila na desturi za wakurya hapo ungekuwa sahihi,hongera kwa kupata mchumba maana hiyo kitu nyakati hizi ni kama utajiriNimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa
Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
ooh Nitashukuru haina shidaZawad tu....hakuna gharama
Ur not serious kwamba mpaka unataka kukubali akuoe hujui tabia zake ur too young to be married tulia akili ipevuke kwanzaNimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa
Ila naombeni ushauri,tabia za wakurya zikoje na maisha ya huko Sirari Tarime yakoje
pole😀Kaniacha eti
Asantee 😔pole😀
Asnt bestKaribu mama karibu sirari border ya wajanja, mji umechangamka huu, kila biashara inaenda, huku kwetu hamna njaa njaa tunalima mahindi, muhogo, viazi, maharage utakula utashiba.
Sirari inapakana na Kenya shopping zetu tunaenda kufanya huko vitu bei chee, lakini pia kuna amani ya kutosha.
Ukale kichuriAsnt best
Nitafute nikwambie ukweli, mi mwenyewe mkurya wa Remagwi sehemu ambyo ukitoka unaingia sirariJamani mi nimeomba tu,niwafaham vizuri,Mimi sio malaya kama unavyofikiria