majjita 01
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 232
- 82
asante ina wanababaisha sana
National Council for Technical Education (NACTE)
28 minutes ago
Kikao cha Joint Admission kimefanyika leo. Makubaliano ni kwamba majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatolewa na TCU kupitia tovuti yake kuepusha michanganyo.
Katika kikao hicho imeonekana kuna multiple selections zaidi ya 2000 zilizosababishwa na baadhi ya vyuo kudahili nje ya mfumo. TCU inategemewa kutangaza matokeo hayo mara baada ya kukamilisha uondoaji wa tatizo hilo.
taarifa yenyewe ndio hii source NACTE FACEBOOK PAGE
Asante kwa taarifa.sas hao walio omba direct vyuoni nao majina yatatolewa na tcu au vyuoni
duuuuh! Hii ndo Tanzania bwana na watu wake ndo hawa waliopo katka bodi ya vyuo! No way out inabidi tuvute subra hata wakisema hadi october wao ndio waamuzi waliopo.
Kwa maana hii vyuo ambavyo vimetangaza selection mapema majina vimetoa wapi? wakati waliomba kupitia tcu .Jamani waache uongo basi utendaji umekuwa bora kwenye vyuo kuliko tcu?