NACTE waitwika zigo TCU

NACTE waitwika zigo TCU

majjita 01

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
232
Reaction score
82
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .

SOURCE: NACTE FB PAGE.

attachment.php
 

Attachments

  • NACTE.png
    NACTE.png
    96.6 KB · Views: 2,337
Hawa jamaa wanazinguaa kinyama leo me cku nzima nimeshinda mitandaon kubabeki...
 
taarifa yenyewe ndio hii source NACTE FACEBOOK PAGE
National Council for Technical Education (NACTE)

28 minutes ago

Kikao cha Joint Admission kimefanyika leo. Makubaliano ni kwamba majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatolewa na TCU kupitia tovuti yake kuepusha michanganyo.
Katika kikao hicho imeonekana kuna multiple selections zaidi ya 2000 zilizosababishwa na baadhi ya vyuo kudahili nje ya mfumo. TCU inategemewa kutangaza matokeo hayo mara baada ya kukamilisha uondoaji wa tatizo hilo.
 
taarifa yenyewe ndio hii source NACTE FACEBOOK PAGE

YAANI tz SWAGA KAMA HIZI NI ZA KUFIKIA TU.


WAMETUFANYA LEO WATU TUMESHINDA MITANDAONI THEN USIKU HUU WANALETA SWAGA MPYA.

MBONA TUNAHARIBIANA MDA NAMNA HII.
 
Asante kwa taarifa.sas hao walio omba direct vyuoni nao majina yatatolewa na tcu au vyuoni
 
Asante kwa taarifa.sas hao walio omba direct vyuoni nao majina yatatolewa na tcu au vyuoni

HUU wote NI UBABAISHAJI.
KAMA WAO NDIO WASIMAMIZI WA SUALA LA ADMISSION KWA NN WARUHUSU TENA VYUO KUPOKEA MAOMBI NA HUKU WANAJUA KUWA KUNA MULTIPLE ADMISSION INAWEZA JITOKEZA?

MM NAONA HUU WOTE NI UBABAISHAJI NA KAZI IMEWASHINDA.
 
Dah Bongo Kazi kweli kweli. sasa elfu si 50,000 wamechukua bure kumbe watu wengine wame apply direct vyuoni?!
 
duuuuh! Hii ndo Tanzania bwana na watu wake ndo hawa waliopo katka bodi ya vyuo! No way out inabidi tuvute subra hata wakisema hadi october wao ndio waamuzi waliopo.
 
Wapuuzi kabisa, Sie tulipe buku 50 then wengine waka apply vyuoni huko then waje kutusumbua, hao walio apply vyuoni walitakiwa wapotezewe wawekewe batch 2 mana wameenda kinyume na taratibu.
 
Bwana mim nshagairi kusoma bongo nawasusia tcu,midudu ya kielimu kila idara,duh cheki sasa!Acha niwaachie wenye nchi,yani kila cku nile chini kulala juu kama ndege.Tired,damit it!
 
Kwa maana hii vyuo ambavyo vimetangaza selection mapema majina vimetoa wapi? wakati waliomba kupitia tcu .Jamani waache uongo basi utendaji umekuwa bora kwenye vyuo kuliko tcu?
 
Kwa maana hii vyuo ambavyo vimetangaza selection mapema majina vimetoa wapi? wakati waliomba kupitia tcu .Jamani waache uongo basi utendaji umekuwa bora kwenye vyuo kuliko tcu?

bora mambo ynayofanywa na waganga wa kienyeji kulko Vtuko hiv vya TCU
 
Tanzania jama nimenyoosha mikono,watu wameapply miez karibia 6,pia wanataka majibu watoe baada ya miez sita du?yah bhana hii nchi ya kwenu TCU MEMBER.
 
Back
Top Bottom