majjita 01
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 232
- 82
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .
SOURCE: NACTE FB PAGE.
SOURCE: NACTE FB PAGE.