Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii page ni official
Unajua tcu ni wasengerema sanah hivi ina maana hilo tatizo la multiple selektion hawakuliona mbaka leo kwenye hicho kikao cha joint admission?? Ni upumbavu
PAGE gani MKUU
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .
SOURCE: NACTE FB PAGE.

Taarifa ya facebook, ipeleke facebook. Watu feki, huandaa page faki na kutoa taarifa faki, ili kuwadanganya vijana wetu.
KUNA TAARIFA fake NA ZISIZO fake. NAKUHAKIKISHIA KUWA HII TAARIFA NI HALISI PAMOJA NA KWAMBA CHANZO CHA TAARIFA NI UKURASA WA FACEBOOK.
KUMBUKA TAARIFA ZOTE ZOTOLEWAZO FB SIYO UZUAHI KAMA UZANIAVYO.
Hapa ndipo napoona hizi taasisi haziko makini , habari muhimu kama hii wataiwekaje ukurasa wa facebook na wakati wana website zao official , kwa nini wasiweke huko hili tangazo TCU na NACTE mmeprove failure kiukwel. Sasa ndo naukumbuka usemi mmoja wa mwana jf humu kuwa ukistaajabu ya tanzania utayaona ya TCU
UDSM, SUA, JUCo MUCCOBS HKMU, ETU,
UDOM and ARU just cleared Batch one and may
advertise their list anytime now.