NACTE waitwika zigo TCU

NACTE waitwika zigo TCU

Unajua tcu ni wasengerema sanah hivi ina maana hilo tatizo la multiple selektion hawakuliona mbaka leo kwenye hicho kikao cha joint admission?? Ni upumbavu
 
Unajua tcu ni wasengerema sanah hivi ina maana hilo tatizo la multiple selektion hawakuliona mbaka leo kwenye hicho kikao cha joint admission?? Ni upumbavu

WANABAHATISHA SANA NA UTENDAJI kazi WAO
 
Ki ukweli TCU wamechemsha hapa ni vyuo vilivyo chini yao ndio vina kiuka utaratibu huu na hawafanyi lolote kuhakikisha halipo. wanatakiwa kushugulika nao wanaosababisha hizi multiple selection zinatukwaza wengi.
 
Lkn ndio waalimu wako huko unakotamani kwenda. utakutana nao uangalie hizo elimu zao
 
Jaman hebu angalien website ya CUHAS ni kwamba wametoa majina ya undergraduates ya M.D na pharmacy.
 
Hawa TCU wanabore sna-yaani megeuza elimu ya Bongo kama secondary (wanakuchagua kama ndio umefaulu darasa la 7 kwenda kidato cha 1). Wameacha majukumu yao ya msingi ya kusimamia ubora wa elimu Tz kama uanzishwaji wa vyuo vingi holela na Wadhiri feki na wasio na sifa vyuoni-MACHO YAO YOTE YAKO KWENYE APPLICATION FEEE. (Kuna vyuo vya mapishi, Tourism &Hospitality, NURSING, TEACHEARS COLLEGE, nk, VINGI FAKE ILA WAO WAMELALA TU-MACHO KWENYE KUPIGA HELA TU).

Wameua USHINDANI MIONGONI MWA VYUO-No one can invest where customers are guaranteed despite the Investment you make!!! Yaani wegeuka wanasiasa (wanapanga wanachuo wengi-vyuo vya serikali ili kua vyuo vya private na kiingereza chao kibovu cha Public Univ to mean Gvt Institutions, mara businessmen/women-ku apply Tshs 50,000; kuomba kuamishwa chuo Tshs 30,000 na kuna Tshs 20,000 tena cjui ya madudu gani? Afu chuo kureview programs zao for better performance na kumatch na market (employer) demands wanahitaji kama 10M au % watakao amua wao.

TUNAOMBA WANAFUNZI WARUHUSIWE KUOMBA VYUO WAVIPENDAVYO WAO, THEN VYUO VITA FORWARD MAJINA KWENU KUHAKIKI SIFA ZAO. CUT POINT NI KIGEZO TOSHA.

JK TEUA PROFESSIONALS TO LEAD PROFESSIONAL BODIES AND NOT POLITICIANS TO LEAD PROFESSIONAL MODIES. MTAUA ELIMU YA TANZANIA KWA TAMAA NA UJINGA WENU.

NA DEDICATE WIMBO WA MSANII WIZKID (SHOW THE MONEY) KWA MKURUGENZI WA TCU KWA KUUA ELIMU YA JUU TZ KAMA YA PRI& SEC ZINAZOSUBIRI KUZIKWA!! ENJOY
 
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .

SOURCE: NACTE FB PAGE.

Taarifa ya facebook, ipeleke facebook. Watu feki, huandaa page faki na kutoa taarifa faki, ili kuwadanganya vijana wetu.
 
mi naona mapuuza bongo kuisha mpaka taifa litubu dhambi ya ubabaishaji na uongo. sasa tusubili lini watamaliza kuondoa hiyo multiselection? UBABAISHAJI SASA BASI!
 
Taarifa ya facebook, ipeleke facebook. Watu feki, huandaa page faki na kutoa taarifa faki, ili kuwadanganya vijana wetu.

KUNA TAARIFA fake NA ZISIZO fake. NAKUHAKIKISHIA KUWA HII TAARIFA NI HALISI PAMOJA NA KWAMBA CHANZO CHA TAARIFA NI UKURASA WA FACEBOOK.

KUMBUKA TAARIFA ZOTE ZOTOLEWAZO FB SIYO UZUAHI KAMA UZANIAVYO.
 
KUNA TAARIFA fake NA ZISIZO fake. NAKUHAKIKISHIA KUWA HII TAARIFA NI HALISI PAMOJA NA KWAMBA CHANZO CHA TAARIFA NI UKURASA WA FACEBOOK.

KUMBUKA TAARIFA ZOTE ZOTOLEWAZO FB SIYO UZUAHI KAMA UZANIAVYO.

Hapa ndipo napoona hizi taasisi haziko makini , habari muhimu kama hii wataiwekaje ukurasa wa facebook na wakati wana website zao official , kwa nini wasiweke huko hili tangazo TCU na NACTE mmeprove failure kiukwel. Sasa ndo naukumbuka usemi mmoja wa mwana jf humu kuwa ukistaajabu ya tanzania utayaona ya TCU
 
KWA VILE FB NI CHANZO CHA HABARI NA NDIYO MAANA TAASISI NYONGI ZINA AKAUNTI za fb. mimi sioni tatizo la wao kuutaarifu umma kwa kutumia fb. tatizo kubwa kwa wao mm naona ni kutotimiZA KILE WANACHOTUHAIDI KWA WAKATI.
 
NACTE wameandika hv
``Kuna malalamiko mengi kuhusu matokeo ya admission na inaonekana mengi yanasababishwa na wengi kutofahamu utaratibu.
Kwa ufupi, matokeo ya uchaguzi wa Shahada hutolewa na TCU pekeyake. Mfumo huu wa NACTE umeunganishwa na mfumo wa CAS wa TCU utakaotoa majina hayo.
Kabla ya TCU kuyatoa majina hayo, ni lazima kwanza yapite JAC ambayo imefanyika jana. JAC ina jukumu la kuhakikisha hakuna aliyepangiwa chuo zaidi ya kimoja na pia waliochaguliwa wamekidhi viwango.
Majina hayo yalishapelekwa vyuoni wiki iliyopita ili vyuo viyapitie na kuyakubali kabla ya kupita JAC. Hivyo ni kweli vyuo tayari vina majina hayo lakini kiutaratibu havitakiwi kuyatangaza hadi itakapohakikishwa kuwa multiple selections zimeondolewa.
Mara baada ya hapo TCU itaruhusu profiles zenu kuonyesha mlikochaguliwa na vyuo kutangaza.
Mnapaswa kufahamu kuwa vyuo vina mamlaka ya kukataa kupokea baadhi ya wanafunzi kwa sababu mbalimbali``.

Source:NACTE fb page
 
UDSM, SUA, JUCo MUCCOBS HKMU, ETU,
UDOM and ARU just cleared Batch one and may
advertise their list anytime now.
 
Back
Top Bottom