Nadandia kwa mbele hoja ya Rais kuhusu bima ya afya kuwekeza kwenye viwanda vya madawa

Nadandia kwa mbele hoja ya Rais kuhusu bima ya afya kuwekeza kwenye viwanda vya madawa

Mkuu huyo Stuxnet asikusumbue kichwa, mimi sioni mapumba pumba yake na matusi.
Nishambonyezea kitufe cha IGNORE zamani sana baada ya kuona anaumia sana na comment zangu utafikiri tunagombea mke.
Namshauri tu na yeye aniweke kwenye IGNORE list yake hataona post zangu, hatapungukiwa na kitu bali atajipunguzia aibu ya kuonekana hana busara, maana yaonekana hekima kwake ni msamiati mpya.
Usipoona wewe wataona wengine. Sijaona hoja ya maana kwenye bandiko !! Kwamba NHIF ikopeshe sekta binafsi ili wakajenge viwanda cha dawa?? Hamjui misingi ya social security protection.
 
Back
Top Bottom