Mkuu huyo
Stuxnet asikusumbue kichwa, mimi sioni mapumba pumba yake na matusi.
Nishambonyezea kitufe cha IGNORE zamani sana baada ya kuona anaumia sana na comment zangu utafikiri tunagombea mke.
Namshauri tu na yeye aniweke kwenye IGNORE list yake hataona post zangu, hatapungukiwa na kitu bali atajipunguzia aibu ya kuonekana hana busara, maana yaonekana hekima kwake ni msamiati mpya.