Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

ivi wewe mtoa mada who are you hadi uhukumu?
umetumia kigezo gani kusema kwamba Wema ni mbaya amaa hafai?
wewe ndo uliye mzuri, na tabia njema na ambaye aliyekupata wewe hakauna anaye muonea huruma?
stop this nonsense.

Wema as any other woman needs to live her life, na akitoka na yyte yule hakuna wa kumuhukumu kwan so far ni maisha yake. kwan huyo idrissa ana usafi gani sana adi aonekane kwamba Wema ni shimo la mamba yeye amedumbukia?

no wonder unaona wivu just because hata mchepuko wako haujawa kukupa promo kama alopewa Idrissa na Wema.
let them live there life.

Af penda kuwapa wengine benefits of doubt. Hakuna mtu ambaye ni shetan na hakuna pia ambae ni malaika. Mtu akikosea pia anayo nafasi kurekebisha makosa yake kama unadhan kwamba WEMA ni mkosaj sana.
 
Mmmmh,
Mpaka kufika hatua ya kutoka na Wema Sepenga.Hivi hawa watu hawana familia labda za kuwashauri kwamba bwana hapa umepotea etc etc
waache wenzio walee ujauzito wao kwa amani.
so far kila mtu mama yake alimchukua mimba hatiani. Ndio mana mwimba Zaburi alitufundisha jinsi ya kutubia
 
Wema ni binadamu ana haki ya Kupendwa....
 
Nilimuona wema kwa karibu ni kama chui
 
are you perfect?? kuweni na mipaka yakuwahukumu watu! kila mtu maovu yake yangeanikwa kama hayo ya watu maarufu walimwengu wangezirai kwa mshangao. tuwe na kipimo kila mtu ana yake
 
Hata mwaka haujaisha acha amkule kwanza ..... Diamond kapiga pale miaka 4
poa poa...
inasemekana hiyo "mikumbakumba" migegedo ya sampuli hizo ina ulimbo kama super glue ...alwatan 'ris atakua kanaswa..lol
 
Hivi mtu akikufuata akikuambia demu wako sie, utamsikiliza?
...typical subjectivity..kama una medula nzuri utajibu fyongo on ze spoti ila baada ya muda ukiwa alone utajiuliza na kutafakari hau kamu mtu akufuate na kukwambia...

Ila kama ni mbwiga utaanzisha hata valangati na utaenda kumpa live demu "eti bebi abcdzY??..kumbuka what goz araund comez araundi mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…