Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Ha ha h vitambiIla idris kapotea ujana wake utaishia kudanganywa na vitambi eti mimba mungu amuokoe kijana huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha h vitambiIla idris kapotea ujana wake utaishia kudanganywa na vitambi eti mimba mungu amuokoe kijana huyu
Bora utunzwe kuliko kutunza shangingijamani Mimi natafuta dem jimama linitunze
waache wenzio walee ujauzito wao kwa amani.Mmmmh,
Mpaka kufika hatua ya kutoka na Wema Sepenga.Hivi hawa watu hawana familia labda za kuwashauri kwamba bwana hapa umepotea etc etc
Nilimuona wema kwa karibu ni kama chuiWema anatumia kizizi kupata wanaume uchwara, akikufirisi anatafuta mwingine wa kumkamua....Domo (Diamond) alivyo anza kuapata akili akachomoka kabla hajafirisiwa, wiki kadhaa watu wakakuta picha yake pamoja na hirizi imetupwa na house girl wa Wema jalalani. Siyo kama watu (wanaume) wanampenda Wema kwa uzuri kwani yeye si mzuri kihivyo....ni wa kawaida sana. Haka kajamaa (Idrissa) hakajitambui, subiri aanze kuombwa milioni 10 au zaidi na huyo Wema ili akatunze wanaume jukwaani ndipo pengine atajitambua.
Sheikh si.unapiga na kutambaa..kijana mdogo unanaswa na fagio la jiji....ha ha ...life z what u plan.Kama hata wewe ungekuwa Idriss ungeacha K kama ile inajileta tu
Si ndio maana ana waparua.Nilimuona wema kwa karibu ni kama chui
Hata mwaka haujaisha acha amkule kwanza ..... Diamond kapiga pale miaka 4Sheikh si.unapiga na kutambaa..kijana mdogo unanaswa na fagio la jiji....ha ha ...life z what u plan.
poa poa...Hata mwaka haujaisha acha amkule kwanza ..... Diamond kapiga pale miaka 4
yeaaah...get ze money spend ze money 'in GK's voice'Acha pesa itumike tu maana hamna namna nyingine
Tena sio vidogoHa ha h vitambi
Kwahiyo Wema ndio wembe, alafu Idris mtoto[emoji15]Mtoto akililia wembe mpe
...typical subjectivity..kama una medula nzuri utajibu fyongo on ze spoti ila baada ya muda ukiwa alone utajiuliza na kutafakari hau kamu mtu akufuate na kukwambia...Hivi mtu akikufuata akikuambia demu wako sie, utamsikiliza?
We call it mbemendonaizeisheni[emoji12]Kwahiyo Wema ndio wembe, alafu Idris mtoto[emoji15]