atasema matusi aliyotukanwa yamesababisha mimba kutoka, hajajaSubiri mwezi ukiisha utaambiwa imetoka bahati mbaya
idris sio maarufu, ila wema ni maarufu sema tu scandal zinamuaribia anakosa madili makubwa, wema angekua katulia angekua tajir sana kupitia matangazo ya makampuni mbali mbali, sema ndo vile umalaya hana heshima kila scandal yeyesamsun kwani wewe umaarufu unaudefine vipi?
Truth withinHuyo anatafta kick nasikia ukitembea na WEMA lazima utoke kama ambavyo kwa lulu kifo hakiko mbali
lulu sasa hivi anatembea na naniHuyo anatafta kick nasikia ukitembea na WEMA lazima utoke kama ambavyo kwa lulu kifo hakiko mbali
ahahahah jaman wewe umejua kunivunja mbavu aiseh, kama nani??Nilimuona wema kwa karibu ni kama chui
Wema bila umalaya asingekua maarufuidris sio maarufu, ila wema ni maarufu sema tu scandal zinamuaribia anakosa madili makubwa, wema angekua katulia angekua tajir sana kupitia matangazo ya makampuni mbali mbali, sema ndo vile umalaya hana heshima kila scandal yeye
Mgosi unaweza usimsikilize ila yakikufika unajuta kwa nini hukumsikiliza. Mambo haya yanategemea historia ya huyo demu imekaaje hasa baada ya kutonywa kuwa umepotea.Hivi mtu akikufuata akikuambia demu wako sie, utamsikiliza?
Richard hajapotea mkuu jamaa ni yuko vizuri kuliko unavyofikir amefanya investment Norway anakoishi yeye na familia yakeI wish Idriss hatokuja kupotea kama Richard..Namtakia kila la kheri
...maadamu umerudia,acha na mimi itoshe tu kurudia:.,seriously,siku hizi unafeli sana kwenye reasoning!so kufaulu kwangu kungekua ni kukubali kwamba Wema ni mbaya na mkosaji kuliko wanawake wengine wote kiasi kwamba Idrissa hastahili kuwa nae? achen double standard na udhalilishaj kwa wanawake.
narudia tena huo ubaya ambao leo hii wema mnasema anao, je huoni ni kwasabb yeye maisha yake yanatangazika zaid? hivi umewaza kwamba kuna mwanamke anaweza kuwa anatembea na wanaume hata 100, na akajulikana malaya wa kutupwa lkn bado akaja kupata mtu, tena ambaye anamjua kwamba ni malaya akamuoa na akatulia? kama hii credit unaweza kuwapa wanawake wengine why not Wema?
I wish Idriss hatokuja kupotea kama Richard..Namtakia kila la kheri
Nipo nae mkuu, ila sifiiiU
lulu sasa hivi anatembea na nani
si nasikia anafanya movie sasa hiv inaitwa MCHUMBA SIO ATM huko norwayRichard hajapotea mkuu jamaa ni yuko vizuri kuliko unavyofikir amefanya investment Norway anakoishi yeye na familia yake
Waambie waache Rohombayanipo binamu, ubize tu na wadau wa umbea humu hawanitag basi napitwa na ma ubuyu hatar, ila tupo
Cjui kwenye account yake kama haisomi m.2 saiv[emoji28]Tuacheni maskhara na kusimama kwenye ukweli m500 si pesa haba ati! Wamikopo wanajua nasema nini
Money is like melting ice it never stays...!Cjui kwenye account yake kama haisomi m.2 saiv[emoji28]
Ni ulimbukeni..Mmmmh,
Mpaka kufika hatua ya kutoka na Wema Sepenga.Hivi hawa watu hawana familia labda za kuwashauri kwamba bwana hapa umepotea etc etc
we vip hujui uko jukwaa gani? kama unataka mambo ya maana nenda jukwaa la sheria au siasa hapa umbea tu kwenda mbele!!!Ifike mahari mjifunze kuacha kufatilia maisha ya watu jamani... Mtoto akililia wembe mpe akijikata basi atajifunza... Wameamua kupendana ni wao watafutiane kiki ni wao saa zingine ninyi mnaowafatilia ndo mnafanya wazidi kufanya mapya kwasababu mnawafatilia
Aisee ... Idris na wema asubuhi mchana jokate na alikiba usiku diamond mnalala alfajiri mnaamka na mosee iyobo na aunty jmn....tooooo much