Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

Nadhani 500Ml na umaarufu vimemchanganya Idris

samsun kwani wewe umaarufu unaudefine vipi?
idris sio maarufu, ila wema ni maarufu sema tu scandal zinamuaribia anakosa madili makubwa, wema angekua katulia angekua tajir sana kupitia matangazo ya makampuni mbali mbali, sema ndo vile umalaya hana heshima kila scandal yeye
 
idris sio maarufu, ila wema ni maarufu sema tu scandal zinamuaribia anakosa madili makubwa, wema angekua katulia angekua tajir sana kupitia matangazo ya makampuni mbali mbali, sema ndo vile umalaya hana heshima kila scandal yeye
Wema bila umalaya asingekua maarufu
 
Hivi mtu akikufuata akikuambia demu wako sie, utamsikiliza?
Mgosi unaweza usimsikilize ila yakikufika unajuta kwa nini hukumsikiliza. Mambo haya yanategemea historia ya huyo demu imekaaje hasa baada ya kutonywa kuwa umepotea.
Mara nyingi kinachowasumbua watu na kutochunguza kitu cha hovyo wanachoshauriwa ni ushamba na ulimbukeni. Hawa vijana wengi mjini huwa wanafika mahali wanadhani wao ndio much know zaidi ya wengine kiasi mzee mzima kama Elli hata akimshauri anadhani anamuonea wivu.
 
so kufaulu kwangu kungekua ni kukubali kwamba Wema ni mbaya na mkosaji kuliko wanawake wengine wote kiasi kwamba Idrissa hastahili kuwa nae? achen double standard na udhalilishaj kwa wanawake.

narudia tena huo ubaya ambao leo hii wema mnasema anao, je huoni ni kwasabb yeye maisha yake yanatangazika zaid? hivi umewaza kwamba kuna mwanamke anaweza kuwa anatembea na wanaume hata 100, na akajulikana malaya wa kutupwa lkn bado akaja kupata mtu, tena ambaye anamjua kwamba ni malaya akamuoa na akatulia? kama hii credit unaweza kuwapa wanawake wengine why not Wema?
...maadamu umerudia,acha na mimi itoshe tu kurudia:.,seriously,siku hizi unafeli sana kwenye reasoning!
...peace & love!
 
I wish Idriss hatokuja kupotea kama Richard..Namtakia kila la kheri


Jamaa aliishia wapi ?
Nakumbuka harakati zake za kuhamia moshi kilimanjaro baada hapo sijaweza kumsikia tena.!!
 
Richard hajapotea mkuu jamaa ni yuko vizuri kuliko unavyofikir amefanya investment Norway anakoishi yeye na familia yake
si nasikia anafanya movie sasa hiv inaitwa MCHUMBA SIO ATM huko norway
 
Tuacheni maskhara na kusimama kwenye ukweli m500 si pesa haba ati! Wamikopo wanajua nasema nini
 
Ifike mahari mjifunze kuacha kufatilia maisha ya watu jamani... Mtoto akililia wembe mpe akijikata basi atajifunza... Wameamua kupendana ni wao watafutiane kiki ni wao saa zingine ninyi mnaowafatilia ndo mnafanya wazidi kufanya mapya kwasababu mnawafatilia
Aisee ... Idris na wema asubuhi mchana jokate na alikiba usiku diamond mnalala alfajiri mnaamka na mosee iyobo na aunty jmn....tooooo much
we vip hujui uko jukwaa gani? kama unataka mambo ya maana nenda jukwaa la sheria au siasa hapa umbea tu kwenda mbele!!!
 
Back
Top Bottom