Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge

Yuko sawa au anaweza kuwa Yuko sawa yote ni majibu . Lakini kama mgombea wa kiongozi wa taasisi inayogusa maslahi ya nchi hafai kwa hoja zake chache tu nilizomsikiliza . Nchi haiongozwi na sheria tu peke yake.
Huyu kiongozi wa Tanganyika Law Society priority yake ni kusimamia sheria. Kila kitu kinaangaliwa kwa prism ya sheria.

Hata maslahi ya taifa kaongelea sheria za kulinda maliasili alizoziacha Magufuli.

Angekuwa anagombea nafasi ya uongozi wa chama cha siasa ndiyo ungeweza kumwambia uongozi wa kisiasa ni zaidi ya sheria.
 
Wamasai na Waarabu ni kina nani walitangulia mbugani? Lini uliona Wamasai wanabeba twiga na simba kwa ndege kuwapelekea Umasaini kama ambavyo Waarabu wanafanya kupeleka Uarabuni.

Kama ni suala la kuleta fedha za kigeni, eleza ni kwa namna gani Wamasai walizuia fedha kuja pale walipokuwa kwenye eneo lao la asili. Na eleza baada ya madalali wa nchi kunadisha wanyama wetu kwa Waarabu hizo hela ziko wapi. Mbona ndio 'vijitozo' vinaongezeka
Wamasai wanazaliana kama mbuzi. Boma Moja baba ana wake wanne na watoto 25 . Baada ya miaka 10 ijayo Tanzania tusingekua na hifadhi inayoitwa ngorongoro. Serikali iliona mbali kuwahamisha.
 
SIKU zote chizi hujiina ni mzima na wazima huwaona machozi pole sana chizi mwabukusi sio levo Yako.
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?

Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.

PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
Mkuu sawa JF ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake lakini vyema ulajitafakari kabla ya kuanzisha uzi humu ili ulinde heshima yako
 
Ni nature tu imewakutanishabwamasai na wanyama. Kuwahamisha usiseme ni improvement. Wao wamejikuta wanaishi huko na wanazaliana fresh tu. Hawajawahi kumlalamikia mtu kwamba wanashida huko.
Wanyama wangekua wanaongea wangesema ila kwa sasa kwa kuwa hawaongei basi tumsikilize mmasai tu.
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?

Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.

PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
The main difference between FOOLS and BRAVES is that, Braves always speak when they have something to say but Fools speak because they have to say something.
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?

Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.

PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
Unaweza thibitisha kuwa uharifu wa mazingira ndo main reason ya kuwaondoa wamasai? Kama jibu lako ni ndiyo wamekuwa hapo kwa mda gani sasa
 
Nimesoma mada yako ila nimeona ni kama wewe ndio hauna akili hivi??!1!
 
Nje ya mada..,

Iyo TLS ina faida/mchango gani kwa Taifa hadi kupelekea watu kufikishana mahakamani na kumake headline ukitoa maslahi ya Posho wanazolipana kwenye iko kikundi?
Can someone please respond
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?

Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.

PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba

..Na Mama Abduli kasema atachimba madini Serengeti hata kama Tanapa wanapinga.

..anatetea maamuzi yake kwa madai kwamba tambo na Simba hawali madini.

..Mama Abduli hajali mazingira, wala thamani ya Serengeti, kubakia ktk uasilia wake.

..Sasa nani mwenye akili kati ya Mama Abduli na Adv Mwabukusi?
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?

Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.

PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
Soma kwanza ulichoandika halafu jiulize kati ya wewe na mwabukusi nani Hana akili.
 
Rasilimali za nchi ndio chanzo cha mafanikio kama taifa. Wamasai wamekaa kwenye eneo ambalo ni potential kwa uwekezaji kupata fedha nyingi za kigeni ili huko kwenu mjengewe hospitali , Barabara , maji , shule na huduma mbali mbali za kijamii. Wewe unadhani bila serikali kuwa na plan za kutumia maeneo tuliyobarikiwa nayo kuwa na rasilimali huko kwenu Dodoma vijijini mngepata hizi huduma?
Mkuu itoshe tu kusema wewe ni Bogus hata kama ulipata one kwenye makaratasi. Your very Hopeless
 
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.

Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba.

Mwabukusi anasema ni kosa kuwaondoa wamasai ngorongoro. Kisheria anaweza kuwa sawa lakini je amepima athari za kimazingira katika maeneo ya hifadhi ambapo nchi hii tunapata zaidi ya 20% ya mapato ya serikali kuu?

Wafugaji wanaondolewa ngorongoro lakini wanapelekwa katika maeneo mengine yenye ardhi na makazi ya kisasa tofauti na ngorongoro walikua wanalala kwenye nyumba za manyata. Hivi katika Hali ya kawaida hii ni improvement au backwards?

Huyu Mwabukusi kwa hoja hizi chache tu nimemuonq ni mwepesi sana.nyie mawakili mtakaosoma hapa nawashauri Mwabukusi hafai kama anapenda kuwa kiongozi sana mwambieni mwakani agombee ubunge.

PIA SOMA
- LIVE - Mdahalo wa Wagombea Uraisi TLS na Chief Odemba
We ndo Una akiri fupi, KUUA Mila ya MTU Kwa maslah binafsi NI uchawi, ila mwenye Mila yake akiikataa Kwa kuona madhara yake huo NI utakaso. Juz mwamba mama alisema kwenye hifadhi kuna madini hivyo ni Bora yachimbwe, wengine wanaona madini hayaozi na ifadhi ni muhimu Kwa wakati huu kwani hatuna njaa ya madini yapo maneno mengine ya nchi, je kumuondoa mmasai ni Sawa au ni Bora kurasimikisha maeneo yao?, kama ni hifadhi ya wanyama, mbona Jpm alihamisha kwenda chato?. Basi wanaweza kufanya hifadhi Mpya, Ila wamasai wakabaki maeneo yao, geography ya tz inashabihana, kumwamisha mnyama ni rahisi kuliko kuamisha mmasai ambae pia nae Kwa hicho makin ni kivutio na mtunza Mila. LIFE IS PEOPLE NOT GOODS.
Tukitumia scale hizo za opportunistic basi TZ ilibid ifutwe kwenye uso wa DUNIA ukilinganisha na nchi nyingine zilizoendelea, tuvamiwe na wengine wenye nguvu zao . Kuna siku kijj chako kutavamiwa na wawekezaji nawe utanambia HUNA vigezo vya kuwa eneo Hilo....hivyo NI muda kutunga
sheria yenye vizingiti vya uhamiajii na makazi ya watu. Tuna tatizo la WASOMI kuwa waoga . //ONDOA MMASAI TULINDE HIFADHI ...NO ONDOA HIFADHI TUCHIMBE MADINI. // inconsistent thinking and weak opiums. Kipi kina Maisha MAFUPI ndo tukitunze?. Mmasai,mmea,wanyama au madini?. eti wamasai wanazaliana hivyo wanaoharib mazingira....CHINA UTAJIRI WAKE NI population..TZ UTAJIRI wake NI RASILIMAMA...Ila njaa Kali. SIASA NI YETU SOTE tuchague ALIYEBORA KULINDA JAMII YA TZ Kwanza.
 
Back
Top Bottom