GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kimchezomchezo tu Tanzania inaweza kuingia katika vita ya yenyewe kwa wenyewe. Hivyo vikosi vyao vikigawanyika tu baasi.

Naombea tupate muafaka na suluhisho kabla hatujafika huko. Sioni sababu yoyote ya msingi ya haya yote yanayoendelea. Ni kama taifa limerushiwa jini mfarakano na wenye mamlaka wamekuwa waathirika wa kwanza.
Kishanuka ni suala la muda tu kipenga kilie
 
Back
Top Bottom