Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Yaan anazungumzia mambo ya kuvunjisha picha na kuzituma kwa mange kimambi,lakin watu wasivyo woga na hii clip yake wameivujisha piaHio clip inaonekana imevujishwa.
Yaan anazungumzia mambo ya kuvunjisha picha na kuzituma kwa mange kimambi,lakin watu wasivyo woga na hii clip yake wameivujisha piaHio clip inaonekana imevujishwa.
Anayedhani hii Nchi ni ya Vyama vingi ndiyo ajionee sasa mambo jinsi yalivyo
Mambo ya Chama Dola 🙌
CCM ipo madarakani kutokana na sapoti ya Jeshi la Polisi
License to kill"ukishakamatwa hakuna maisha" 🤔🤔🤔
First thibgs first.Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndugu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanne.
Mambo ya Vyama vingi yapo kwenye makaratasi kuwahadaa Wazungu tu ili tupate mikopo na misaadaThe way Jamaa anasema Chama Tawala 🤣, If u know u know
Kama anasingiziwa mbona hajakanusha!?Habari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
Hiyo 4 aliitamkaje?Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndugu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanne.
Ni shikidi anawakanda haswaJeshi gani😅😅😅😅😅
Mafwele amebaki kuwafira tu, maana hawajitambui.
Leta ya ukweli uliyonayoFirst thibgs first.
Hiyo audio imeihakikisha ni ya Mafwele kweli na si ya mchongo?
Nenda X kwa sativa...iko loud and clearBila attachment ya hiyo audio basi tunatakiwa kukupuuza na uzi wako
Chahali amethibitisha ni kweliFirst thibgs first.
Hiyo audio imeihakikisha ni ya Mafwele kweli na si ya mchongo?
Tena kasema Wakaguzi.Nadhani hata polisi wapo wasiokubaliana na hayo. Kwenye maelezo yake wapo maafisa wawili wa polisi pia wamekamatwa
Unaulizi,a sheria????Hakuna kosa hapo sijakutuma uje ubandike kwenye ukuta wangu acha kutumia mbavu utavunjika au utavunjwa