Ni kama vile wanamfanyia mpango ili wajeda wa JWTZ wamuondoshe kama yeye anavyowaondosha wanaopinga serikali ya ccm.Habari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
Mungu nani Bibi Kidude?Mkuu mahali Tanzania imefikia kwa sasa tofauti ya Mungu na Rais ni ndogo sana so unavyoizungumzia habari ya kosa sihadi uwe umeipata bahati ya kufikishwa mahakamani .
Nowadays wahuni wanapotea tu nawewe then inaishia hivyo
Ndio maana nasema jamaa fala halafu anavyoongea sasa km vile kala makungu sijui kala niniKusema waliokamatwa hawana maisha maana yake yeye mafwele ndo mkamatqji , hakimu na mtoa adhabu. Na adhabu yake kukatisha maisha ya alio wakamata. Sad
Yeye anaamini kwenye kufanyaje kuteka na kufanyaje?maana yake nikwamba , mafwele haamini katika mfumo wa haki unaohusisha mahakama na sheria zilizotungwa bungeni
ZCO....KANDA MAALUMAnasimamia operesheni nchi nzima wakati yeye ni RCO wa DAR.
SI bure na huu unaweza kuwa ni ushahidii wa yale yanasemwa kumuhusu.
Hahahaha mbavu zangu mie unaambiwa huyu jamaa anaogopwa balaa wajeda hawawezi kwenda kuwaokoa wenzaoNi kama vile wanamfanyia mpango ili wajeda wa JWTZ wamuondoshe kama yeye anavyowaondosha wanaopinga serikali ya ccm.
Wajeda kazi munayo, nendeni mukawaoke wenzenu wanaoshikiiwa na mafwele..
Eti Tesha Muhuni muhuni kakimbia Nchi, subiri siku akutanee nae uso kwa uso aongee nae vizuriHiko kikao kamsema Tesha kwamba ni mtu muhuni muhuni. Na inaonekana ni kikao cha siri akajiachia kupiga mikwara.
Duh,
Nimeshangaa yaaani huyu mtu ni zero brain kabisa hajielewi yaaani inavyoonekana kauwa watu wengi sana na damu za watu zimeshamkalia kichwanimaana yake nikwamba , mafwele haamini katika mfumo wa haki unaohusisha mahakama na sheria zilizotungwa bungeni
Hii hapa kuna fukuto kubwa sana huko jeshini.Sijaiona hiyo clip ila kama ipo, that is grand mistake kwa huyo aliyetangaza hizo habari. Nakubaliana na wewe.
Ndio maana anasikika akisema "......kila mmoja anajua kila mmoja anajua hamna tena maisha pale..."Yeye kachagua adhabu moja kwa muujibu wa maelezo yake kwenye clip. Kukatisha maisha.
Anaelewa hatari iliyopo mbeleni kwake, hapo ni kama anaomba msaada alindwe, lakini its too late.Eti Tesha Muhuni muhuni kakimbia Nchi, subiri siku akutanee nae uso kwa uso aongee nae vizuri