GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.

Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi

Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.

Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndugu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanne.
 
Haitasaidia kitu. Kuna kundi kubwa la wanajeshi hawafurahishwi na haya mauzauza yanayoendelea nchini! Polisi wameungana na watawala kuwanyanyasa raia wasio na hatia! Hali hii kama itaendelea, basi kuna dalili zote za kutokea uasi siku zijazo.
 
Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.

Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde inchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndungu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanna.
Jeshi gani😅😅😅😅😅

Mafwele amebaki kuwafira tu, maana hawajitambui.
 
Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.

Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde inchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndungu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanna.

Hajakosea kitu.

Huko ndiko kujilipua kwenyewe. Huo ushahidi unaweza kutumika huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom