Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Clip za uzushiTusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde inchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndungu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanna.