Unatwist ukweli. Kwa maelezo ya mafwele hao walichana bango lililowekwa nyumba wanayoishi na si mapinduzi😆😆😆 only in Tanzania ndio utasikia wanajeshi wanapindua bango
Huyo jamaa ni fala sana basi tu wanaomuamini wanamuogopa atawauaKuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndugu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanne.
Nakubaliana na wewe. Hiko ni kikao cha siri cha maofisa wa polisi lakini wapo walioweza kumrekodi hivyo kwa Siri.Haya maandamano kuna watu wanayachulia kwa masihara na kejeli! Ila ukweli ni kwamba, kuna watu wanasubiri tu kinuke ili hatua nyingine zichukuliwe.
Kuna siku nilikuwa naongea na jamaa zangu wa mabakabaka; hakika nilishangaa sana namna wanavyochukizwa na haya mambo ya kihuni yanayoendelea nchini! Kifupi mtazamo wao hauna tofauti na ule wa Capt. Tesha!
Kazi imebakia kwa Gen Z tu!
Hahaha huku ninapoishi mboni hakuna aliekamatwa kwa huo upuuzi? Ndio maana nasema huyo jamaa ni fala sanaKwa maelezo ya mafwele hao walichana bango lililowekwa nyumba wanayoishi na si mapinduzi
Mkuu sijakuelewa. Hakua aliyekamatwa kwa kuchana bango au Hakuna aliyekamatwa kwa sababu ipi?Hahaha huku ninapoishi mboni hakuna aliekamatwa kwa huo upuuzi? Ndio maana nasema huyo jamaa ni fala sana
Tumekusikia Mafwele!Habari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
Kuchana bango ukamatwe kwa kosa lipi? Hahaha nilikutuma uje ubandike kwenye ukuta wangu? Mimi ndio natakiwa kukushtaki kwa kuja kuuchafua ukuta wangu kubandika matangazo yako ya kisiasa bila kibari chochote na hujapokea idhini yangu ndio maana kuna nyumba wanaziruka hukuti wamebandika bango laoMkuu sijakuelewa. Hakua aliyekamatwa kwa kuchana bango au Hakuna aliyekamatwa kwa sababu ipi?
Mkuu ukichana usipokamatwa haimaanishi kuwa wengine hawakamatwi, inetegemea tu unaishi wapi na nani kakuona. Ni kama ilivyo kuvuta bangi, mtu anaweza kuvuta bangi mwaka mzima asikamatwe, Ila Kuna mtu akivuta siku moja tu anadakwaKuchana bango ukamatwe kwa kosa lipi? Hahaha nilikutuma uje ubandike kwenye ukuta wangu? Mimi ndio natakiwa kukushtaki kwa kuja kuuchafua ukuta wangu kubandika matangazo yako ya kisiasa bila kibari chochote na hujapokea idhini yangu ndio maana kuna nyumba wanaziruka hukuti wamebandika bango lao
Hakuna kosa hapo sijakutuma uje ubandike kwenye ukuta wangu acha kutumia mbavu utavunjika au utavunjwaMkuu ukichana usipokamatwa haimaanishi kuwa wengine hawakamatwi, inetegemea tu unaishi wapi na nani kakuona. Ni kama ilivyo kuvuta bangi, mtu anaweza kuvuta bangi mwaka mzima asikamatwe, Ila Kuna mtu akivuta siku moja tu anadakwa
Kwahiyyo kuchana bango nako ni uhaini?Unatwist ukweli. Kwa maelezo ya mafwele hao walichana bango lililowekwa nyumba wanayoishi na si mapinduzi
Ndio maana kuna nyumba wanaziruka hukuti bango sabaabu wanajua ukibandika pale ni msala hawabandiki ila majumba mengine unakuta nyumba yote imepigwa mabango wenyewe wanaanza kuhangaika kuyabanduaMkuu ukichana usipokamatwa haimaanishi kuwa wengine hawakamatwi, inetegemea tu unaishi wapi na nani kakuona. Ni kama ilivyo kuvuta bangi, mtu anaweza kuvuta bangi mwaka mzima asikamatwe, Ila Kuna mtu akivuta siku moja tu anadakwa
Mkuu mahali Tanzania imefikia kwa sasa tofauti ya Mungu na Rais ni ndogo sana so unavyoizungumzia habari ya kosa sihadi uwe umeipata bahati ya kufikishwa mahakamani .Hakuna kosa hapo sijakutuma uje ubandike kwenye ukuta wangu acha kutumia mbavu utavunjika au utavunjwa
Wanasema ngoma ikikaribia kupasuka huvuma sana.Tusiwachanganye wajeda na mambo ya siasa. Hatuna jeshi lingine. Tunadhofisha psychology ya jeshi letu.
Ujue wanajeshi wameapa kutojihusisha na siasa. Waache walinde nchi
Mafwele hakupaswa kutangaza kukamatwa kwa wanajeshi kwa kosa la kisiasa angeongelea kiujumla tu na kuficha identity.
Kuna audio inazunguka mitandaoni ikimrecord ndugu Mafwele akitamba kukamata watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wanne.
Kwamba hujasikia sauti ya Mafwele na Muriro? Uzuri ni kuwa wanaovujisha ni wa ndani kabisa, we endelea kusifu na kuabudu ila siku za kula hizo posho ni chache mnoHabari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee
USSR
Usikute ni mke wa huyo Mafwele!Tumekusikia Mafwele!