Nadhani huu ndo uchaguzi Mgumu sana kwa ccm kuwahi kutokea.

No reform no election huruma sio malezi tusipowatoa madarkani safari hii ndo basi tena.
 
Naona Ccm Kama watatoboa safari hii kurudi ikulu,

basi sioni Kama ccm itatoka madarakani kirahisi tena.
 
CCM wajinga, walitakiwa kumtema Samia mapemaa, sababu alikuwa anamalizia muhura wa Mwendazake.

Sasa mambo yamekuwa magumu kwao ni balaaa....mgombea hakubaliki hauziki - sasa hivi ni mwendo wa kubebana wao kwa wao kuhutubiana - magari zaidibya 200 msafara wa mgombea...tuna nchi hapo ndugu zangu.
 
Hahaha wangemuweka nani sasa, Kikwete?

Unamkubali nani huko ccm wewe?
Ccm wote wanapaswa kutoka na kupotezwa, hdi mbwa wao.
 
Back
Top Bottom