Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

Mkataba wao waliyousaini uliyouona? Tuanzie hapo kwanza jibu hilo swali, maana hizo ishu hazijadiliwi kamansoga za vijiweni
 
Ukisikia uchawi ndio huo, Jayruty kwanza ni mfanyabiashara, pili katika mikataba yote ya jezi iliyowahi kutokea Tanzania hakuna mkataba mnono wa jezi kama wa Jayruty, kuna wengine wanapewa 1500 kila jezi zikiuzwa sisikii ukiwatetea.
Swali ni anapata hela ngapi kutoka diadora kutangaza nembo yake kinyemela kupitia Simba na je Simba inapata % ngapi ya hio pesa? Inawezekana anachoipa simba is just a pea nut.
 
Ili iwe nini?
Bora Jayrutty anatoa billions of money, upande wa pili wanapata 1,200/= per jersey, mbona hamuhoji?
Aa kaka hatufanyi hivyo. Kwani hiyo hela anayotoa jayruty simba inafanyakazi gani, inazidi ile anayotoa GSM kwa Yanga?
 
Simba wana mkataba na Jayruty anachopata hakiwahusu
Duuh! Shabiki oyapya kama wewe haisaidii Simba. Hushangai Simba imekosa ubingwa miaka 5 mfululizo. Kupata wachezaji wazuri kunahitaji pesa nyingi, hivyo Simba inahitaji fedha nyingi kadri inavyowezekana ili kuendesha timu.
 
Swali zuri sana, wanaofahamu kuhusu hili jambo watuweke wazi
Yaani hapo diadora pia alitakiwa atoe mpunga kwa Simba kutangaza bidhaa yake ndani na nje ya tanzania. Kama Jayruty na mo wanatoa mpunga matangazo yao kuwa kwenye jezi kwanini diadora hawatoi?
 
Swali ni anapata hela ngapi kutoka diadora kutangaza nembo yake kinyemela kupitia Simba na je Simba inapata % ngapi ya hio pesa? Inawezekana anachoipa simba is just a pea nut.
Mkuu, haki ya Simba ni makubaliano ya mkataba.

Kama mkataba aliosaini unamruhusu kukodisha space kwenye jezi kwa third party bila kuwajibika kutoa % basi hakuna namna ni kusubiri mkataba uishe. Unless amekiuka makubaliano.
 
Swali ni anapata hela ngapi kutoka diadora kutangaza nembo yake kinyemela kupitia Simba na je Simba inapata % ngapi ya hio pesa? Inawezekana anachoipa simba is just a pea nut.
Inawezekana ikawa kweli, kwa sasa simba hana cha kufanya sababu jamaa anatimiza matakwa ya kimkataba, labda mkataba uishe ndio simba akae mezani na diadora moja kwa moja.

Jayrutty ni kala mkataba ila kazi ya kutengeneza kaenda kwa diadora, anawalipaje diadora watajuana wao.
 
Ukisikia uchawi ndio huo, Jayruty kwanza ni mfanyabiashara, pili katika mikataba yote ya jezi iliyowahi kutokea Tanzania hakuna mkataba mnono wa jezi kama wa Jayruty, kuna wengine wanapewa 1500 kila jezi zikiuzwa sisikii ukiwatetea.
Ahahahaha hata kusajili wanasajiliwa na GSM sio mapato yao... Siku boss akisema si husiki na timu ndo mwisho wao🤣
 
Back
Top Bottom