Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,680 Reaction score 31,804 Aug 2, 2026 #21 Akili mtu wangu
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 3,087 Reaction score 6,024 Aug 2, 2026 #22 Kwani hao simba hakuna mru wa kufanya analysis za uchumi wa klabu kupita wadhbuni? Achea kuingilia mambo ya watu au kawekeze wewe sasa
Kwani hao simba hakuna mru wa kufanya analysis za uchumi wa klabu kupita wadhbuni? Achea kuingilia mambo ya watu au kawekeze wewe sasa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Aug 2, 2026 #23 Muamke muende wapi nyie wajinga, endeleeni kutangaza brand za watu mana wajinga wataendelea kutumiwa na wenye akili. Jezi inakuja na QR Code bc mashabiki wanafurahia knoma, wakati QR code unaweza kutengeneza ww mwnyw na tecno yako na bando la jero.
Muamke muende wapi nyie wajinga, endeleeni kutangaza brand za watu mana wajinga wataendelea kutumiwa na wenye akili. Jezi inakuja na QR Code bc mashabiki wanafurahia knoma, wakati QR code unaweza kutengeneza ww mwnyw na tecno yako na bando la jero.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 3, 2026 #24 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 3,353 Reaction score 11,038 Aug 11, 2026 #25 how huu uzi umekuwa sticky thread?