Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

Kwani hao simba hakuna mru wa kufanya analysis za uchumi wa klabu kupita wadhbuni? Achea kuingilia mambo ya watu au kawekeze wewe sasa
 
Muamke muende wapi nyie wajinga, endeleeni kutangaza brand za watu mana wajinga wataendelea kutumiwa na wenye akili.

Jezi inakuja na QR Code bc mashabiki wanafurahia knoma, wakati QR code unaweza kutengeneza ww mwnyw na tecno yako na bando la jero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…