Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Lazima taratibu zote zifuatweJeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki.
Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana. Lakini tujiulize hizo pikipiki na Bajaji Zina makosa Gani?
Jaribuni kufanya analysis maisha ni magumu sana, msiwasukume vijana kugeuka wezi wakati wameshajiajiri. Tumieni busara, Kama ambavyo mnalipwa mshahara na hautoshi ndivyo hata wengine wanavyoteseka.
Riziki haitafutwi nje ya utaratibu