Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

Lazima taratibu zote zifuatwe

Riziki haitafutwi nje ya utaratibu
 
Watu wa bajaji napikipiki ni vilaza wanatumia makalio kufanya maamuzi barabarani. Wanasababisha ajali na hasara kwa wamiliki wa vyombo. Ni mamaku wakubwa.
 
Wiki iliyopita Posta kuna muhindi jamaa kaporwa Ml 20 alikuwa katoka Bank.. na jamaa wawili walikuwa kwenye Boxer wote walikuwa na bastola mkononi, mchana kweupe kabisa
 
Bodaboda na bajaji hawana nidhamu kabisa wanapokuwa barabarani: Ukweli ni kwamba Polisi wanawastahi Sana.

Polisi wangekuwa wanachukua hatua stahiki, ni asilimia 25 tu ya bajaji na bodaboda ndiyo wangebaki barabarani.
 
Acha polisi wafanye kazi yao. Unakuta dereva bodaboda anaendesha kavaa ndala, pikipiki haina bima, element hajavaa, Bado akikamatwa utasema kaonewa?
Naongezea Mkuu, haina plate number, haina sight mirror, haina taa ya breki, haina indicator, daaah! nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…