Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
🤣🤣🤣Maneno ya mkosaji.
UMASKINI.
IPHONE NDO SIMU.
zingine calculators
Uko sahihiUkiona unaathirika na majivuno ya mtu mwenye iPhone ujue unatatizo la saikolojia,nowdays simu zipo Kali tena zenye rank zaidi ya iPhone mkuu
😂 jidanganyeni hivyo hivyoIPHONE NDO SIMU.
Kwa mie mpendwa picha , Google pixel 🙌🙌Maneno ya mkosaji.
UMASKINI.
IPHONE NDO SIMU.
zingine calculators
Kwakweli Kuna cm Kali aiseeUkiona unaathirika na majivuno ya mtu mwenye iPhone ujue unatatizo la saikolojia,nowdays simu zipo Kali tena zenye rank zaidi ya iPhone mkuu
Lugha kali sana hiiMwezi wa nnya za watu kutumika iPhone 16 imetoka..
Kali mno just like REDMI NOTE 15...balaa SanaKwakweli Kuna cm Kali aisee
Tafuta pesa kijana.Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.
Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo .
Cha zaidi ni Ngumu sana kujishusha kutumia simu ya kawaida hata kama hali yake kwa huo muda hairuhusu .
Tunakoelekea kuna watu wataumwa ugonjwa wa kutokuwa na iPhone na utakuwa na dalili zake nyingi tu.
Tuanze kutafuta dawa
Muwe na siku njema , niko tayari kuzipokea comments , sasa hivi tuko iPhone 16
Huu sasa ni ugonjwaTafuta pesa kijanana.
Mimi nina simu 2, iPhone 14 ProMax na Samsung S23 Ultra.
🤣🤣🤣Huu sasa ni ugonjwa
Wengine tulistuka zamani tukaacha nazo. Tumetulia na Tecno zetu kimyaaaWamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.