Nadhani kuna tatizo mahala kuhusu nyongeza ya mshahara

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,699
Reaction score
2,875
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu.

Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo.

Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi, swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?

Binafsi naona kuna tatizo sehemu either la kimfumo au kiutendaji .
 
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu .
Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo .
Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi ,swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?

Majibu tayari 👇

Screenshot_20220501-163636.png

Screenshot_20220501-163535.png
 
Hivi unategemea vichwa kama NDALICHAKO,Jenister mhagama na Mwigulu NCHEMBA vitaongezà mshahara wenu watumishi,kalkuleta ameshika Mwigulu,mwangalie anavyojipendekeza kwa Rais ,alivyokuwa marekani ziara ya royal tour walivyokutana na mabango ya waandamanaji yeye akaenda kuyasoma wakati yale yalikuwa yanamtaka Rais ,sijui kama atawapandishia mshahara saña sana atamwambia Ssh hili halimo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020-2025

i
 
😂😂😂
 
Lakini tuamini wataongeza
 
Kweli sukuma gang mnapata shida Mama kuupiga mwingi

Hadi mnatia huruma 😂😂
 
Hivi unategemea vichwa kama NDALICHAKO,Jenister mhagama na Mwigulu NCHEMBA vitaongezà mshahara wenu watumishi,kalkuleta ameshika Mwigulu,mwangalie anavyojipendekeza kwa Rais ,alivyokuwa marekani ziara ya royal tour walivyokutana na mabango ya waandamanaji yeye akaenda kuyasoma wakati yale yalikuwa yanamtaka Rais ,sijui kama atawapandishia mshahara saña sana atamwambia Ssh hili halimo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020-2025

i
Jamaa katili lile
 
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu .
Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo .
Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi ,swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?
Binafsi naona kuna tatizo sehemu either la kimfumo au kiutendaji .
Lile jambo letu liko pale pale. Hii kama maneno ya waswahili tu. Is neither presidential nor cassual speech
 
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu .
Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo .
Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi ,swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?
Binafsi naona kuna tatizo sehemu either la kimfumo au kiutendaji .
Wala hajatoa agizo lolote la mahesabu. Au hujuwi Kiswahili vizuri au unadanganya. Kasema wazi ongezeko lipo lakini siyo kama lilipendekezwa na bado linafanyiwa hesabu. Unataka awe clear vipi zaidi ya hivyo?
 
Back
Top Bottom