Nadhani kuna tatizo mahala kuhusu nyongeza ya mshahara

Nadhani kuna tatizo mahala kuhusu nyongeza ya mshahara

Wala hajatoa agizo lolote la mahesabu. Au hujuwi Kiswahili vizuri au unadanganya. Kasema wazi ongezeko lipo lakini siyo kama lilipendekezwa na bado linafanyiwa hesabu. Unataka awe clear vipi zaidi ya hivyo?
Bado linafanyiwa mahesabu gani mwaka jana alisema ataongeza inamaana mahesabu ni makubwa kiasi gani mpaka kwanzia 1of may ya mwaka jana mpaka mwaka huuu hilo swala la mahesabu ni kichochoro alichoamua kupitia nashukuru mungu sipo kwenye hiyo sector ya kuajiriwa 7+ year no increament ya hata 1%
 
Wewe unafikiri kucheza mdako kule? Jiulize bwana yule miaka mingapi hajawaahidi chochote, sasa mnaahidiwa mambo yapo, nyie mnaleta chokochoko.

Unafikiri watu wanahesabu mawe ya mdako?
 
Wewe unafikiri kcheza mdako kule? Jiulize bwana yule miaka mingapi hajawaahidi chpochote, sasa mnaahidiwa mambo yapo, nyie mnaleta chokochoko.

Unafikiri watu wanahesabu mawe ya mdakor?
Hivi ni Tz peke yake ndio mishahara inaongezeka au sisi tu mhesabu mengi sana ?
 
Hivi ni Tz peke yake ndio mishahara inaongezeka au sisi tu mhesabu mengi sana ?
Mishahara kuongezeka au kutokuongezeka si kipaumbele pekee kilichopo mbele ya Rais. Rais ameshaahidi na ameshasema wazi kabisa, kuwa hataongeza kiwango kilichopendekezwa na mahesabu yanafanyika sasa hivi, nyongeza ipo. Mmeweza kustahamili miaka mitano ya bwana ytule bila kuleta fyoko, sasa mnashindwa kustahamili nini wakati ahadi imeshatolewa kuwa zipo, hata mlete hizo chokochoko za kijinga?
 
Hivi ni Tz peke yake ndio mishahara inaongezeka au sisi tu mhesabu mengi sana ?
Kwani hapa panaongelewa TZ au na wapi kwengine? Kama unaona kwengine panakufaa zaidi si uende huko kwengine, unangoja nini?
 
Kweli sukuma gang mnapata shida Mama kuupiga mwingi

Hadi mnatia huruma 😂😂
Kwahiyo kwa sasa wanaoumia na maisha,mishahara kidogo ni sukuma gang eti? Endeleeni kuwaza hivyo mwisho miaka 5 inakwisha.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Bado linafanyiwa mahesabu gani mwaka jana alisema ataongeza inamaana mahesabu ni makubwa kiasi gani mpaka kwanzia 1of may ya mwaka jana mpaka mwaka huuu hilo swala la mahesabu ni kichochoro alichoamua kupitia nashukuru mungu sipo kwenye hiyo sector ya kuajiriwa 7+ year no increament ya hata 1%
Una akili ndogo sana,then unasema haupo kwenye sekta ya kuajiriwa why unaumia roho?
 
Kwani hapa panaongelewa TZ au na wapi kwengine? Kama unaona kwengine panakufaa zaidi si uende huko kwengine, unangoja nini?
We ni nani mpaka uamue wengine tuondoke ?
 
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu.

Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo.

Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi, swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?

Binafsi naona kuna tatizo sehemu either la kimfumo au kiutendaji .
Tulia wewe wafanye hesabu 👇

Screenshot_20220503-211709.png

Screenshot_20220503-211830.png

Screenshot_20220503-211745.png
 
Tatizo la kuwa na kiongozi dhaifu ndio hilo. Nonsense
Kwa hiyo kikwete alikuwa imara ndio maana akaongeza mishahara ?

Na magufuli alikuwa dhaifu ndio maana hakupandisha mishahara ?

Je udhaifu wa magufulia na samia ni wa kutopandisha mishahara ?
 
2023..mungu atatenda Tena miujiza..maana ambae hafai yeye humtapika...
 
Una akili ndogo sana,then unasema haupo kwenye sekta ya kuajiriwa why unaumia roho?
Tanzania hii kila mtu huwa anajiona ana akili kubwa lakini bado tunaendelea kuwa maskini tu
 
Back
Top Bottom