Majibu tayari 👇Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu .
Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo .
Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi ,swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?
Binafsi naona kuna tatizo sehemu either la kimfumo au kiutendaji .
Sasa unavyoenda kuongea na mamilioni ya Watu na tarehe inajulikana inabidi kuwa na majibu .
😂😂😂Hivi unategemea vichwa kama NDALICHAKO,Jenister mhagama na Mwigulu NCHEMBA vitaongezà mshahara wenu watumishi,kalkuleta ameshika Mwigulu,mwangalie anavyojipendekeza kwa Rais ,alivyokuwa marekani ziara ya royal tour walivyokutana na mabango ya waandamanaji yeye akaenda kuyasoma wakati yale yalikuwa yanamtaka Rais ,sijui kama atawapandishia mshahara saña sana atamwambia Ssh hili halimo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020-2025
i
Lakini tuamini wataongezaHivi unategemea vichwa kama NDALICHAKO,Jenister mhagama na Mwigulu NCHEMBA vitaongezà mshahara wenu watumishi,kalkuleta ameshika Mwigulu,mwangalie anavyojipendekeza kwa Rais ,alivyokuwa marekani ziara ya royal tour walivyokutana na mabango ya waandamanaji yeye akaenda kuyasoma wakati yale yalikuwa yanamtaka Rais ,sijui kama atawapandishia mshahara saña sana atamwambia Ssh hili halimo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020-2025
i
Kwani kila kitu lazima sukuma gang wausike ?Kweli sukuma gang mnapata shida Mama kuupiga mwingi
Hadi mnatia huruma 😂😂
Ni system failureThe problem is, she found herself in the position of president by accident.
Hatujafika hukoThings Fall Apart! !!
Jamaa katili lileHivi unategemea vichwa kama NDALICHAKO,Jenister mhagama na Mwigulu NCHEMBA vitaongezà mshahara wenu watumishi,kalkuleta ameshika Mwigulu,mwangalie anavyojipendekeza kwa Rais ,alivyokuwa marekani ziara ya royal tour walivyokutana na mabango ya waandamanaji yeye akaenda kuyasoma wakati yale yalikuwa yanamtaka Rais ,sijui kama atawapandishia mshahara saña sana atamwambia Ssh hili halimo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020-2025
i
Lile jambo letu liko pale pale. Hii kama maneno ya waswahili tu. Is neither presidential nor cassual speechKwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu .
Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua kipo .
Ni either tunaongeza kwa asilimia fulani au hatuongezi maana kila mtu anaona hali ilivyo ukiongeza mishahara unaongeza Matumizi ,swali litakuja je mapato yameongezeka kwa kiwango cha kuongeza mishahara ?
Binafsi naona kuna tatizo sehemu either la kimfumo au kiutendaji .
Mtakoma mwaka huu. Samia is there to stay forever. Hadi 2045 mnaye tu.Tatizo la kuwa na kiongozi dhaifu ndio hilo. Nonsense
Lina roho mbaya sana,yaani mambo linavyoyafanya kina Sabaya Cha mtoto.Jamaa katili lile
Wala hajatoa agizo lolote la mahesabu. Au hujuwi Kiswahili vizuri au unadanganya. Kasema wazi ongezeko lipo lakini siyo kama lilipendekezwa na bado linafanyiwa hesabu. Unataka awe clear vipi zaidi ya hivyo?Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu .