Wasilisha taarifa zenye uthibitisho hapa ,vinginevyo unaropoka tu kama huyu Lema aliekimbia umande
Sio hivyo tu, kama ikimpendeza akatizame takwimu kama hizo Canada.
Nina uhakika ataona kuwa ziko juuu, na zinaongezeka mwezi huu wa tatu mpaka wa mwezi wa kumi hivi.
Na akitazama vizuri ataona kati ya hao majeruhi asilimia kubwa ni ya Watu wakizungu....vijana kati ya miaka 13 na 45 ambao kiuhalisia ndio wenye bima za afya, ndio wenye kutibiwa kwa weledi na uangalifu mkubwa compared to majeruhi wa asili ya Uafirika au Jamii nyingine kwa sababu za gap kubwa ya wealth and so forth..
Wazungu hupona.. kwa haraka kwa sababu hizon juu wanarudi kazini kwa haraka na hivyo kupunguza utegemezi wa Serikali kwenye matibabu hata pale wakipata ulemavu, kuna asilimia kubwa kupeleka kesi mahakamani na kujishindia mamilioni...ukija huku kwingine
ukitazama kati za hizo grupu ni weusi tu ndio wanakuwa na cost kubwa kwenye uchumi, kwani cost za kutibiwa kwa muda mrefu ukijumulisha na cost za ulemavu ziko juu zaidi ya wenzao ambao wanaponywa na kurudi makazini haraka Vilevile unakuta kesi zao nyingi za kujeruhiwa na ajali sawa kabisa na wenzao hazipati milioni kama wenzao na hivyo kubaki katika kundi lilio na utegemezi wa Serikali[hiyo welfare system anayodai Lema] na ndio wanaoitwa masikini.
Kama sikosei Takwimu hizo ndizo anatumia Lema.....
anazomezeshwa lema, ni kweli ila kuna mapungufu ya kiuhalisia.
Uhalisia upi huo?
Ukiangalia takwimu za waliofikishwa mahakamani kwa kuvunja sheria za barabarani.... Hasa kama ilisababisha ajali na kusababishwa na pikipiki barabarani utaona ukinzani kati ya idadi ya majeruhi wazungu na jamii nyingine. Hiyo ni kusema, idadi ya majeruhi weupe inakinzana na idadi ya majeruhi wa jamii nyingine-mathlani 70% nyeupe 30%
Utaona kuwa....
wale waliokamatwa wakivunja sheria za usalama barabarani 70% jamii nyingine na 30% wazungu! ungetarajia idadi ya majeruhi kuwa sambamba au kukaribia idadi ya wanaokiuka sheria za trafiki...in other words hazi oani.. hazi conciliate....
Kumbuka, majeraha yanayotokana na ajali, na ajali hutokea pale sheria au kanuni za uendeshaji zinapovunjwa au kutozingatiwa, ikiwa ni pamoja na kuendesha akiwa amelewa, kuendesha na kuendesha bila leseni na makosa mengine yanayofanana na hayo
Wengi wa watu hao, yaani wa jamii nyingine wanalazimika kubakia katika makundi ya umasikini kwa sababu za upendeleo; wa sheria, wa matibabu, wa haki za kisheria stahiki dhidi yao.