Nadhani Lema ajibiwe hoja zake

Nadhani Lema ajibiwe hoja zake

Pac the Don

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
6,170
Reaction score
7,710
Jamaa ukiangalia ana hoja juu ya masuala aliyozungumza na kuleta tafrani kwa wasiotaka kutumia akili na kufikiri kabla ya kujibu.

Ukiangalia aliyoyalenga mfano bodaboda ile ni ajira shikizi kwa vijana sababu hawana jinsi! But haya Lema anayoongea ni chachu kwa utawala kufungua milango ya ajira kwa vijana!

Wengi wanakurupuka tu kumtukana Lema...
 
Jamaa ukiangalia ana hoja juu ya masuala aliyozungumza na kuleta tafrani kwa wasiotaka kutumia akili na kufikiri kabla ya kujibu. Ukiangalia aliyoyalenga mfano bodaboda ile ni ajira shikizi kwa vijana sababu hawana jinsi!! But haya Lema anayoongea ni chachu kwa utawala kufungua milango ya ajira kwa vijana!! Wengi wanakurupuka tu kumtukana Lema......
Mkuu achana nae tafuta maisha yako
 
Mi uzur napiga popote penye upotoshaji siegemei popote, so mamb cjui nyumbu hilo siangalii. Naangalia unatoa hoja gan, Weng mnaishia kutukana bila kutoa way forward nn kifanyike!! Mlikua mnawasema vijana wa CDM kaz yao kutukana lkn ukiangalia nyie ndio vinara wa kutukana!!
 
Jamaa ukiangalia ana hoja juu ya masuala aliyozungumza na kuleta tafrani kwa wasiotaka kutumia akili na kufikiri kabla ya kujibu. Ukiangalia aliyoyalenga mfano bodaboda ile ni ajira shikizi kwa vijana sababu hawana jinsi!! But haya Lema anayoongea ni chachu kwa utawala kufungua milango ya ajira kwa vijana!! Wengi wanakurupuka tu kumtukana Lema......
Wewe acha ufala hata kama ana hoja uwezi ita kazi halali ya mtu kuwa ni laana maana yake unamanisha wanaofanya kazi iyo wamelaniwa
Iv mnaojua maana ya kulaniwa
 
Muhimbili inapokea Majeruhi wa Bodaboda zaidi ya 600 kwa mwezi mmoja tu .
 
Haswa.
Hoja zake zinajibika.
Waandishi wa Habari, Maripota wa habari,wanahabari kwa ujumla wanakazi za kufanya

Kamavile,
Kuhakiki vyanzo vya taarifa za lema. e.g ametoa wapi takwimu anazotumia.
Ikibidi waombe taarifa hizo ubalozini au waombe balozi au walazimishe balozi za nchi tajwa kukubali au kukanusha madai yake

[kuna mengi ya kudadavua kutoka kwa hawa watu. Je wamo katika kuchagiza ajenda za CHADEMA] wanahusika vipi? moja kwa moja? Tutajua mengi kwa wao kukaa kimya au kutolea ufafanuzi kuhusu takwimu anazotumia Lema....Wana tuhadaaa?

ufahamu wake kwenye taaluma anazogusia.....Uchumi, jamii na Saikolojia? n.k n.k

Je ana jarida analolisoma katika taaluma hizo?
Je hizo taarifa zake zinaweza kutizamwa na wanazuoni kwa weledi ikiwamo uwasilishaji wake wa taaifa, hususani pale anapofanya comparison za uchumi kama za Tanzania ambayo inatajwa kama nchi masikini, na Marekani au Canada zilizo na Uchumi unaodaiwa kuwa wa juu.
Kuna Ulimbukeni kote. Kwa wanaofanya hayo mahojiano, na Lema

Lema ni limbukeni

Bila Kusahau matamshi ya SSH juzi kati, kuhusu "mazoea" kwa yale yanayojiri especially pale tunapoona kauli za lema zilivyokuwa ngeni kwa Watanzania. Zinavyo kinzana na mila na desturi tulizo zizoea

Wekeni doti doti
 
Kwann msimhoji kwa kina kuliko kutukana? Mlikua mnawalaumu hao chadema hawana hoja wanatukana tu but nyie ndio mnaonekana sasa hamna hoja mnaanza kuitana limbukeni!! Jibuni kwa hoja au mu outclass Lema kwa hoja!!
 
Kama itakupendeza, hata mie ni limbukeni...

Hata hivyo ulimbukeni wake ni dhahiri, na ndio maana unaona pande ya CCM ina mshangao sawa na CHADEMA.
Je wewe unafikiri Lema ameshawahi kula Burger ya maana? Unajua burger ni nini? Sii lazima unijibu. Tafakari tu
 
jiongeze wewe bwege watoto wa kitila mkumbo na madelu wametaftiwa kaz za maana BOT huku wewe na wajinga wenzio wakikwambia bodaboda ni kaz nzur.
Manyumbu baba unataka kulazimisha kila mtanzania afanye kazi BOT? Ni aibu unabeba upuuzi wa mtu ambae hajasoma kama lema unauleta humu
 
Wewe acha ufala hata kama ana hoja uwezi ita kazi halali ya mtu kuwa ni laana maana yake unamanisha wanaofanya kazi iyo wamelaniwa
Iv mnaojua maana ya kulaniwa
H,
Tatizo kuna wale wanaofikiri kayaleta tu, kwamba kaamka tu na kuanza kumwaga sumu. Hapana. Lissu ndie aliekuwa ana hayo makrabasha. Kwamba ndiye aliyetarajiwa kutema "sumu" ndani ya jamii. Ame testi, ameshauriwa ampatie Lema....ni kijana na bado ana mda wa kuja kutubu na labda akasamehewa na labda akaendelea kisiasa. Ila kwa Lissu hiyo ni 'self destructive' na hayana tija ya mda mfupi, i.e muda kati ya sasa na Uchaguzi mkuu kama ataenda kusimama- Utambue lema ni kafara wa maridhiano yanayoendelea.

Ni makubaliano ya pande mbili za CCM na CHADEMA au kwa lugha nyepesi....ni makubaliano kati ya Viongozi wawili wa Vyama ambao ki uhalisia hauna baraka thabiti kutoka pande zote. Haijalishi kubadilisha mindset ya Magulification if I may na kuweka Beberu-Beparification kuna ulazimu wa kupinda mila na desturi....hivi ni kwanini SSH na Mbowe walikutana kabla ya Sherehe na Hotuba mbele ya Bavicha? hivi ni kwanini Mbowe alikutana na Balozi wa Uingereza kabla ya hotuba yake Mwanza? Je tunajua maana ya colaborative review? Hususani wa Hotuba inayoweza kujenga au kubomoa kiongozi kisiasa.

Tunajua, hatujui.
 
Jamaa ukiangalia ana hoja juu ya masuala aliyozungumza na kuleta tafrani kwa wasiotaka kutumia akili na kufikiri kabla ya kujibu. Ukiangalia aliyoyalenga mfano bodaboda ile ni ajira shikizi kwa vijana sababu hawana jinsi!! But haya Lema anayoongea ni chachu kwa utawala kufungua milango ya ajira kwa vijana!! Wengi wanakurupuka tu kumtukana Lema......

Hoja kama"bodaboda ni laana"
 
Wasilisha taarifa zenye uthibitisho hapa ,vinginevyo unaropoka tu kama huyu Lema aliekimbia umande
Sio hivyo tu, kama ikimpendeza akatizame takwimu kama hizo Canada.
Nina uhakika ataona kuwa ziko juuu, na zinaongezeka mwezi huu wa tatu mpaka wa mwezi wa kumi hivi.

Na akitazama vizuri ataona kati ya hao majeruhi asilimia kubwa ni ya Watu wakizungu....vijana kati ya miaka 13 na 45 ambao kiuhalisia ndio wenye bima za afya, ndio wenye kutibiwa kwa weledi na uangalifu mkubwa compared to majeruhi wa asili ya Uafirika au Jamii nyingine kwa sababu za gap kubwa ya wealth and so forth..

Wazungu hupona.. kwa haraka kwa sababu hizon juu wanarudi kazini kwa haraka na hivyo kupunguza utegemezi wa Serikali kwenye matibabu hata pale wakipata ulemavu, kuna asilimia kubwa kupeleka kesi mahakamani na kujishindia mamilioni...ukija huku kwingine
ukitazama kati za hizo grupu ni weusi tu ndio wanakuwa na cost kubwa kwenye uchumi, kwani cost za kutibiwa kwa muda mrefu ukijumulisha na cost za ulemavu ziko juu zaidi ya wenzao ambao wanaponywa na kurudi makazini haraka Vilevile unakuta kesi zao nyingi za kujeruhiwa na ajali sawa kabisa na wenzao hazipati milioni kama wenzao na hivyo kubaki katika kundi lilio na utegemezi wa Serikali[hiyo welfare system anayodai Lema] na ndio wanaoitwa masikini.

Kama sikosei Takwimu hizo ndizo anatumia Lema.....

anazomezeshwa lema, ni kweli ila kuna mapungufu ya kiuhalisia.
Uhalisia upi huo?

Ukiangalia takwimu za waliofikishwa mahakamani kwa kuvunja sheria za barabarani.... Hasa kama ilisababisha ajali na kusababishwa na pikipiki barabarani utaona ukinzani kati ya idadi ya majeruhi wazungu na jamii nyingine. Hiyo ni kusema, idadi ya majeruhi weupe inakinzana na idadi ya majeruhi wa jamii nyingine-mathlani 70% nyeupe 30%
Utaona kuwa....

wale waliokamatwa wakivunja sheria za usalama barabarani 70% jamii nyingine na 30% wazungu! ungetarajia idadi ya majeruhi kuwa sambamba au kukaribia idadi ya wanaokiuka sheria za trafiki...in other words hazi oani.. hazi conciliate....
Kumbuka, majeraha yanayotokana na ajali, na ajali hutokea pale sheria au kanuni za uendeshaji zinapovunjwa au kutozingatiwa, ikiwa ni pamoja na kuendesha akiwa amelewa, kuendesha na kuendesha bila leseni na makosa mengine yanayofanana na hayo

Wengi wa watu hao, yaani wa jamii nyingine wanalazimika kubakia katika makundi ya umasikini kwa sababu za upendeleo; wa sheria, wa matibabu, wa haki za kisheria stahiki dhidi yao.
 
Back
Top Bottom