Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Kuna yeyote aliyemaliza kusoma hili gazeti, aeleze kwa ifupi dhima ya hili andiko?
 
Wazinzi wanahudumu madhabahu ipi?
 
Najua unaziona coments zangu na huzijibu sababu umekuja hapa kwa mpango mkakati wako unaoujua ww, nikukumbushe tu kuwa neno la Mungu unalohubiri linasema....

Gal 6:7-8
"Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele."
 
Ipo tunakutana mara nyingi, hata weekend hii tulikuwa na mkutano kuongelea mada zetu.

Asiyeamini au anayeamini mwenye shaka anayetaka kushiriki mazungumzo haya, hata kwa kusikiliza tu, anitafute PM.
Inapendeza sana mkuu.
 
Habar ya kwako,kuna vitu vimekuvaa moyoni kwa sababu ya mazingira ya malezi, na pia uelewa wa neno la Mungu kwa maana ya Bibliaa unakuchanganya,ukipata sehem sahii ya kulifaham neno la Mungu utabadilu mawazo,naomba nikukaribishe na nsomba uje sikumoja kwenye ibada kanisa la eagt city church kwa mchungaji florian Katunzi, hata uki google mchungaji florian katunzi utapata adress ya kanisa lipo dar njis ya mtoni mtongaji karibu na shule ya msingi miande,siku ukifika hapa utamuona Yesu nakuthibitishia mawazo yako yatabadilika na Bwana Yesu akulinde wewe ni dada borasana kwaJina la Yesu
 
Nakupata dear na uongo ni kifungo coz inabidi kila mara udangqnye kuwndeleza uongo wa mwanzo.
Nakiri ni ujinga sema ni ile tu unajishtukia labda watashangaa mbona hatusikii ukisema umefiwa na mjomba au binamu yangu anaoa nk. na pia nahisi wakijua sina ndugu wakajua wao ndo wao wataanza kuniringia😀
 
Wewe ni Mimi ingawa story zetu zinatofautiana kwa kiasi fulani, pamoja sana mkuu
 
Sina mkakati wowote mkuu na meseji zako nitajibu zote.Mimi nimejisikia tu kuongea.
Asante kwa neno
 
Salama mkuu.
Asante kwa kujali.
Nitakaribia ila hakuna kitakachobadilika🙏🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…