Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

huyu shetani keshamvuruga ubongo..na hapa anatumika kuwapotosha wana wa Mungu bila yeye kujijua, ndo mana hajibu maswali yangu
Niko sehemu network ni karibu na ziro ndo mana najibu kwa shida mkuu.
Nikirudi home nitapitia page zote nitajibu.
Tuko pamoja mkuu usijali
 
Hii Dunia ina mengi kweli watu ni visa na mikasa na vile vile watu ni story na dunia imejaa machaguzi umeamua kuwa mbinafsi tu. Kuna wakati huyo little one naye atahitaji nduguye naye atakuwa aishi maisha ya upweke na kutoa simulizi zisizo za kweli.

Kwenye kuwakuza hawa little children chukua hii "Hatimaye tusiwaandalie barabara watoto wetu wadogo tuwaandae watoto wetu wadogo kwa ajili ya barabara. Yote kwa yote pole kwa hali hiyo na ndivyo maisha yanaenda.
 
Pole sana. Nimetoa chozi la uchungu!
 
Sijapatwa kitu mkuu na pia nitakuelewa vizuri kama hutanukuu bibliaπŸ™πŸΌ
 
Reactions: 511
Basi huna haja ya kujisikia vibaya kuna wengine ndg ndo wanaopanga mashambulizi ya kuwaangamiza aliyekuumba analo kusudio lake wewe kuwa na story aina hii, sijaona ubaya wako mpk sasa kusema ujipe hiyo heading mwanamke mwenye sifa mbaya humu, ni vile unasoma miandiko tuna mabaya yetu mengi tu tumeyaatamia, na ndo ubinadamu huo,
 
Kama hili uliloandika ni kweli basi wewe ni mama mwenye akili mingi.

Haijalishi ukwasi umeupataje ila kua nao mpaka hapo kwa uliyopitia, unastahili pongezi.

Ni wanawake wachache wako kama wewe, hongera.
 
Single mama wa hivi mbona unyama tu kama uanatulelea mwenetu vizuri sio kesi hayo mengine utajua na Mungu wako
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…