Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Mimi nitakachosema ni kimoja tu: Laiti ungejua jinsi gani muumba wa ulimwengu alivyo na upendo na huruma, hata akakuacha ukamkanusha na bado haachi kukuneemesha, basi ungekuwa mja mwenye shukrani, lakini mwanadamu kawaida yake huvuka mpaka akijiona ameshajitosheleza.

Anyway, endelea na uatheist wako mkuu, wewe na mimi na watu wote tungeamua kumkataa basi haipunguzi hata tone kwenye ufalme wake.

Yoote ya kufikirika kifo je? chenyewe si unakubali kipo? basi siku ukifukiwa kwenye shimo la giza peke yako, utajua kuwa hatukuja hapa duniani kwa bahati mbaya, na mambo hayajiendeshi yenyewe.

"Na akasema Musa: "Ikiwa mtakufuru nyinyi na wote waliomo duniani, basi hakika Allah ni Mkwasi mwenye kusifiwa."

Qur'an 14:8

Pridah
 
Mekupata dear🙏🏼😘😍
 
Hongera, nimejifunza kitu kikubwa sana ktk hili bandiko
 
Hii filamu Kuna mahali niliwahi kuangalia...
Sikumbuki jina lake lakin ni ya kimarekani
Nilikumbuka nitakuja na hilo jina hapa jukwaani
 
NB: Atakayenisaidia kudaka risasi za watakatifu na za anti-single mothers nina vocha yako😃
Kwa nini ugawe vocha kwa masharti? Atheists hawako hivyo ndugu.

Jifunze kwa Bantu Lady mwenyekiti wa Timu Sandakalawe na katibu wake Leejay49 utaelewa namna ya kutoa msaada wa vocha kwa kina pangu pakavu tia mchuzi wa jf.
 
Ila nilichogundua wewe ni binti Sayuni kabisa,maana kila nikitafuta hizo dhambi zako sizioni,naurudia uzi mara ya tatu sasa
 
Kama hili uliloandika ni kweli basi wewe ni mama mwenye akili mingi.

Haijalishi ukwasi umeupataje ila kua nao mpaka hapo kwa uliyopitia, unastahili pongezi.

Ni wanawake wachache wako kama wewe, hongera.
Sentensi yako ya kwanza imenigusa ndani ya moyo.Hakuna kitu naogopa kukosea kama malezi ya huyu mtoto.Natumia akili nyingi na muda wangu mwingi kuhakikisha na install vitu sahihi ndani yake.Hata niwe busy vipi au nichoke vipi nitahakikisha najua siku yake imekuaje shuleni bila yeye kujua kuwa namfanyia uchunguzi..Najua rafiki zake wote.najua nani sio rafiki yake tena sbb ana matusi au sbb zao tu za kitoto,Nitajifanya tunapiga story then nitajiua kila kitu kilichotokea shuleni.

Asante kwa pongezi mkuu🙏🏼🙏🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…