Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Pole sana kwa yote Pridah ,sihitaji kukutongoza Wala sitaki kusema nini nataka kusema hapa Ila kikubwa niruhusu niweze kuwasiliana na wewe tafadhali .
Note 😛M yangu hainipi uwezo wa kusoma meseji Wala kutuma Ila jua natamani kuzungumza na wewe .
 
Binafsi sijauona ubaya wako popote, wewe ni mtu mwema mbona.

Kuna wafiraji, walawiti wa watoto, majambazi, wauaji na wezi, kuna wachawi na wenye kijicho, kuna wanafiki na wasiopenda maendeleo ya wengine...the list goes on and on.

Sasa kama una mambo yako ya rohoni, ambayo kimsingi hayamuathiri yoyote, wewe ni mtu mwema sana.

Muhimu una jamaa lako linakutoa ukurutu mara moja moja.
 
Andiko lako limenitoa Machozi, sijui Kama Kuna Mwingine ame experience the same Kind of emotions or I'm just too emotional today.
Pole sana kilichokukuta ndicho kinachonikuta Sasa ,nimeisoma habari yake Kama story ya mizaha Ila nimejikuta naumia sana .
Wacha nirudi tu nyumbani nikalale kwani ulanzi hata kesho upo tu Ila wewe dada Pridah umeniliza
 
Traumatized but intelligent.
Kila mtu mwenye akili timamu lazima ashtukie dini na stori za Mungu this, Mungu that. Uzushi ulio dhahiri kabisa.
 
Vitoto vya namna hiyo vinanyanyaswa sana katika ndoa wewe ulikimbia ndoa mwanawo atateseka sana
 
People have tendency of judging others for things that they ain't comfortable with..!!

haya maisha ni mafupi mno kuishi kwa kumfurahisha kila mmoja maishani mwako, simamia kile unachokiamini hata kama utasimama peke yako, na wala usiogope kuwa WEWE, hao watakaohukumu wana mengi mno makubwa kuliko yako na wameyaficha nyuma ya pazia..!!

at the end of the day, no one is leaving this world alive, just don't stop to shoot your shot..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…