Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

kama haya ya kweli, basi nakupa pole mkuu........
 
Pole sana kilichokukuta ndicho kinachonikuta Sasa ,nimeisoma habari yake Kama story ya mizaha Ila nimejikuta naumia sana .
Wacha nirudi tu nyumbani nikalale kwani ulanzi hata kesho upo tu Ila wewe dada Pridah umeniliza
Pole mkuu.
Bora urudi home usijejikuta umezidisha ulanzi mkuu🙏🏼
 
umesema ni atheist? huamini uwepo wa Mungu? kwenye huu uzi uliandika nini?


 
mkuu nina maswali mengi sana kutoka kwako, na ushauri pia

maswali:-
1. umesema ulianza kuwa atheist tangu ukiwa primary, unataka kuniambia ww huamini uwepo wa Mungu na bado uliweza kwenda kanisani kusali usiku kucha mpk magoti yakauma leo hii uje useme huamini uwepo wa Mungu, ulikua unamuomba Mungu yupi sasa?

2.nafahamu unasoma sana biblia, na unaifahamu dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu haisamehewi..unafahamu kwamba unachokifanya hapo ni kutaka kuitenda iyo dhambi kwa maana mwisho wake unamkana Mungu na Yesu kristo unayemtaja kwene mahubiri yako kanisani?

3. kama umeamua kuwa atheist kwann usiache kuhubiri na bado unaendelea?

ushauri;-
Naamini ww ni mtu wa Mungu na anakutumia sana kuifanya kazi yake, hayo mawazo uliyonayo ni hila za shetani kukupoteza ktk mstari, nakushauri utubu hiyo dhambi na umrejee Muumba wako, watu wengi hapa wanakushauri ujinga tu kwamba endelea na maisha hayo na ufurahie, wote huo ni ubatili mtupu
 
Kama kweli haya uliyoyaandika ni ukweli hongera sana mkuu na ww sio mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote jf Bali mwenye sifa nzuri kuliko.
 
Maneno ya dhahabu🙏🏼
Asante sana dear😍😍
 
NAKUPONGEZA KWA KUWA ATHEIST MWENYEWE NAENDA KANISANI KUMSINDIKIZA WIFE NA WATOTO ILA DEEP INSIDE MAMBO YA MOTO SIJUI MBINGU SIYAAMINI HATA KIDOGO. NAAMINI MUNGU YUPO ILA SIYO HUYO WA KWENYE BIBLE NA QURAN
Asante mkuu na hongera kwa kuisapoti familia.Hao vijana wakikua watazinduka wenyewe cha kuchekesha wataogopa kukwambia wakidhani watakuumiza kumbe dingi yao ushashituka kitambo😃
 
fungua profile yake, uzi wake wa kwanza kuandika humu aliandika sana habari za Mungu,
huyu anafurahisha genge!
 
Kwa uzi huu nimeamin hata mapadre wetu ni atheist,maana kwa kitabu wanachokipiga sizan kama wakihitimu wanakuwa bado wanaamin uwepo wa mungu

Huwa wanatuchora tu tukiwa kwenye ibada/misa

Mods wasivyopenda kuona ukwel wataifuta hii comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…