Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Pole sana kwa uliyopitia, ila nafurahi kusikia kwamba kwa sasa upo na una furahi. Changamoto ni sehemu ya maisha. Napenda nijue umri wako kwa sasa na sehemu ulipo na ikiwezekana njoo DM tujuane vizuri tuweze kushauriana mambo ya hapa na pale.
Asante mkuu🙏🏼
Am fine now
 
Nimependa sana hii hadithi ya maisha yako, saa natamani ningekuwa na mtindo kama wako.
Binafsi nakupongeza na kukutakia kufika kilele cha mafanikio wewe na mwanao.
 
Kati ya vitu Mungu hapendi ni unafiki, kujifanya mtu wa Mungu wakati unajichoresha tu, ipo siku utaumbuka vibaya sana, kama umeamua kuwa mshenzi kuwa mshenzi kama umeamua kuwa mtu wa imani kuwa mtu wa imani,
 
Nimegundua mambo mengi ambayo hauna uhakika nayo, hata sisi wengine hatuna uhakika ila tunajipa moyo tu na kujiaminisha.

Mfano hata hawa tunaodhani ni ndugu zetu, watoto wetu nk. unaweza kuta wala hatuna undugu nao!
Ni kweli mkuu ila bora nyie mnakua pamoja ktk shida na raha
 
fungua profile yake, uzi wake wa kwanza kuandika humu aliandika sana habari za Mungu,
huyu anafurahisha genge!
huyu shetani keshamvuruga ubongo..na hapa anatumika kuwapotosha wana wa Mungu bila yeye kujijua, ndo mana hajibu maswali yangu
 
Hope ukushiriki kunipiga bk 20000 miaka ile tunatafuta vimwana 😂
 
Kati ya vitu Mungu hapendi ni unafiki, kujifanya mtu wa Mungu wakati unajichoresha tu, ipo siku utaumbuka vibaya sana, kama umeamua kuwa mshenzi kuwa mshenzi kama umeamua kuwa mtu wa imani kuwa mtu wa imani,
Unamtishia Mungu wakati yeye haamini ktk Mungu.
Ni nani atamuumbua wkt anaamini Mungu hayupo🙆
 
Ipo tunakutana mara nyingi, hata weekend hii tulikuwa na mkutano kuongelea mada zetu.

Asiyeamini au anayeamini mwenye shaka anayetaka kushiriki mazungumzo haya, hata kwa kusikiliza tu, anitafute PM.
Vigezo ndugu yangu, nimevutiwa nayo.
 
Mtoto wangu haendi kulala mpaka tusali hivyo japo siamini ila napiga goti kusali ili aridhike
ivi unajisikia unachokiongea mpendwa?? ni nn kimekupata??

Gal 3:1-3
Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani? Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?
 
Kabisa mkuu.
Unakuta mtu kazinduka akiwa tayari ni kiongozi kanisani inabidi aendelee kufanya kama kazi ya kawaida tu.

Nitakutafuta mkuu🙏🏼🙏🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…