Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Unamtishia Mungu wakati yeye haamini ktk Mungu.
Ni nani atamuumbua wkt anaamini Mungu hayupo🙆
Anaamini Mungu hayupo lakini anahubiri kanisani, Sasa HUONI kama anajichanganya na anasema anajipatikia kipato kupitia mahubiri na nyimbo, Mungu ameamua kumuinua lakini yeye hataki kuammihi , Sasa atakuja kushushwa vibaya mno mpaka atashangaa
 
Vigezo ni rahisi sana, kuwa mtu asiyeamini au anayeamini lakini ana shauku ya kujua mambo ya wasioamini.
Nashukuru, binafsi naami ila kwa mtindo tofauti na ulizoeleka, ila napenda mno kujifunza haswa yalio kinyume na ninayo amini, mara nyingi huko kuna kuwa na positive nyingi.
I will DM you mkuu.
 
Unaweza kuta kwenye kanisa, mchungaji ni atheist, Mzee wa kanisa atheist, mwimbaji mashuhuri ni agnostic na nusu ya waumini ni agnostics pia.
Ila wengi wapo kwa ajili ya maslahi binafsi na wengine wanaogopa maoni ya watu wao wa karibu.
Inawezekana mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…