Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Mambo zenu wakuu?

Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele yangu.

Binafsi nimeshangaa sana kwa sababu anafanya some issues ambazo binafsi I can't do.
Kwa mm hata hamu ya kumnyandua sitokua nayo Tena ntakua na kinyaa nae tu
 
Mkuu we ndio umepata mke sasa huyo hafanyi maigizo alikupenda kweli.
 
Back
Top Bottom