Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Dawa ni jamaa nae aanze kukojoa kitandani ili wote wafanye hiyo Dominant.In animal kingdoms mnyama hua vulnerable muda anaoenda haja (iwe kubwa au ndogo) na wengine huifukia (Paka) kuifukia huashiria yeye siyo dominant eneo hilo na hataki kukutwa na dominant.
Mbwa hua hafukii kwakua anajua hata mwenye territory akija mmiliki wake yupo ili kumtetea.
But your woman does both? What does that tell you?
Anakuamini, anatarajia umlinde. Dunia yetu ilipo kumlinda mtu wako inajumuisha kuexpose (kwa njia ya kuuliza) info na vitu kama hivi. Nafikiri hata mchepuko wako ana taarifa nyingi za mkeo.
Maana ni upuuzi, maswala ya kutoa taka mwili hayatakiwi kuwa maswala ya hadhara bali ni faragha binafsi.
Kama yeye anataka uwazi basi aweke wazi mawasiliano yake na pesa zake anazopata hicho ndicho kipimo kizuri cha uaminifu na ukaribu. Sio unamuonyesha mtu taka mwili zako ili iwaje sasa.